Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 512
- 140
Naomba mnikumbushe kesho juu ya kuiendeleza hii thread, ila kwa sasa ngoja nianze hivi, Lowassa ametoa ahadi ya elimu, well wengi wenu ni waalimu, na by nature mlilazimika kusomea ualimu sio kwa kupenda, ni kutokana na kwamba shahada ya elimu ilikuwa financed na bodi ya mikopo, sasa fikiria mtoto wa maskini huyu akiambiwa kuwa hata degree ya uhasibu pale mlimani ni bure unadhani ataendelea na ualimu wake huko MUCE......? Nitaendelea kesho