Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,384
- 4,357
Pj nani kakwambia mzunguko wa pesa ni mdogo hali Mafisadi wanaibuka kama mzunguko ungekuwa mdogo hilo lisingekuwepo tatizo ni ubinafsi wa wachache kujilimbikizia mali na kuacha wengine wakiteseka
alichojaribu kusema huyo victoire ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja, ni hivi serikali inazuia pesa kwa wingi at the same time wana ongeza matumizi (contractionary monetary policy and expansionary fiscal policy) ndo leo tunaona maswala ya kuimport BVR tools, ambapo kwa upande mwengine imeonekana kuwa imekaa kimasilahi zaidi kwa wanasiaisa wetu kwa kuwa ni project iliyotengenezwa ili kupiga hela...ndo hilo tatizo la ubinafsi na ufisadi unaozungumzia ambapo mwisho wa siku kunasababisha yote haya ya kuporomoka kwa uchumi na maswala mengine yanayohusiana nayo.