Elimu bure hakuna, Serikali imekurupuka

hopaje

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
1,726
1,218
Hvi kweli shule inapewa laki mbili hata kama ni kwa mwezi hapo hapo toa hela ya mlinzi,maji,umeme hapo bado Hela za chaki shule zitaendeshwa vp hizi!!!
 
Hujui hata unachoogea kasome kwanza waraka wa Elimu bure uliotolewa na serikali ndiyo uje tena siyo unakurupuka tu.
 
mkuu hiyo hesabu yako umeipigaje, maana zimetolewa bilioni 18 na point, wewe hiyo laki mbili umegawanyaje hadi kuipata?
 
Hvi kweli shule inapewa laki mbili hata kama ni kwa mwezi hapo hapo toa hela ya mlinzi,maji,umeme hapo bado Hela za chaki shule zitaendeshwa vp hizi!!!
Kwa picha uliyoweka hapo ktk id yako, una haki ya kukurupuka! Ila hata mfunge usiku na mchana, treni ya Magu ishaanza shika kasi! Pisheni tu, mnasali afeli!
 
Hiyo ni pesa ambayo moja ya shule imepata kwa shule ya msingi sijapiga hesabu ya bil 18 hii ni hesabu tu ya kiasi gan shule imepata waraka wa elimu umefuta michango yote kwa shule za msingi sasa hapo hiyo laki mbili itatosha kweli kuendesha shule kwa mwezi???
 
Dah! Kuna watu wanakurupuka sana. Sijui huyu mleta mada kaandika wakati amepakatwa au ameinama! Yaani nawaza tu wadau.
 
Hiyo ni pesa ambayo moja ya shule imepata kwa shule ya msingi sijapiga hesabu ya bil 18 hii ni hesabu tu ya kiasi gan shule imepata waraka wa elimu umefuta michango yote kwa shule za msingi sasa hapo hiyo laki mbili itatosha kweli kuendesha shule kwa mwezi???
Umezidi kwa umbeya. Kama una uhakika na unachokisema kwa nini haureveal hiyo shule ili tujue?
 
Wachawi wameshaanza kuwanga ili elimu bure isifanikiwa. Mnatakiwa mje na idea ambazo zinaweza kufanikisha elimu bora ili watoto wetu wanufaike na wazazi wapate unafuu wa maisha. Nchi inahitaji wataalamu ili tuweze kupata maandeleo.
 
Kwa picha uliyoweka hapo ktk id yako, una haki ya kukurupuka! Ila hata mfunge usiku na mchana, treni ya Magu ishaanza shika kasi! Pisheni tu, mnasali afeli!
Magufuli kawafunga midomo UKAWA. Wamebaki kuandika umbea tu humu mitandaoni. Unamaikia John Mnyika siku hizi? Wapi amefia Salum Mwalimu? Wapi Tundu Lissu? Wapi Freeman Mbowe? Wote wameufyata kwa kasi ya Magufuli. Wakijaribu kusema wanabaki kuwa kituko. Yule mzee wa kujinyea nyea eti alilalamika kuwa wafanyabiashara waliomsaidia kwenye kampeni wanasakamwa na serikali. Alipotakiwa kuwataja ameufyata. Wengine wanasema eti Magufuli anatekeleza ilani ya UKAWA. kwikwikwikwiiiii
 
Nimeona mpka bank statement ila siwezi kuweka hapa namlinda aliyenipa na analalamika ni mkuu wa shule siwezi kuitaja zaidi kaniambia naitisha mkutano wa wazazi niwambie kiasi cha hela tulichopewa wao ndo wafanye maamuzi!!!
 
Wachawi wameshaanza kuwanga ili elimu bure isifanikiwa. Mnatakiwa mje na idea ambazo zinaweza kufanikisha elimu bora ili watoto wetu wanufaike na wazazi wapate unafuu wa maisha. Nchi inahitaji wataalamu ili tuweze kupata maandeleo.
Siku zote wachawi ni adui wa maendeleo. Wachawi kama huyu mleta mada hawastahili hata kuishi. Ni wale ambao kwa mikoa ya wenzetu wanaangamizwa huku wanajiona
 
Kakuambia wewe kama nani? Pole sana
Nimeona mpka bank statement ila siwezi kuweka hapa namlinda aliyenipa na analalamika ni mkuu wa shule siwezi kuitaja zaidi kaniambia naitisha mkutano wa wazazi niwambie kiasi cha hela tulichopewa wao ndo wafanye maamuzi!!!
 
Hujui hata unachoogea kasome kwanza waraka wa Elimu bure uliotolewa na serikali ndiyo uje tena siyo unakurupuka tu.
Wewe ndiyo umekurupuka, nenda mashuleni waulize wakuu wa shule na walimu wakuu. Siyo unatetea kila ujinga zama hizo zimeisha f.ala we
 
ImageUploadedByJamiiForums1452341880.180269.jpg
someni hapo nimekata jina la shule angalieni vizuri hapo sh hiyo??
 
Naona mnamshambulia jamaa bila sababu.
Moja -- tujue tuna shule ngapi
Pili --- hizo bln 18 ni kwa muda gani
Tatu ---- Ni kwa ajili ya msingi na sekondary
Nne --- Ni za Matumiz yapi shuleni
Tano ---- Tugawanye Sasa.
 
Back
Top Bottom