Lokaseven
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 147
- 18
Pole Na Majukumu Ya Kila Siku Mtanzania Mwenzangu, Vipi Umeshapata MAISHA BORA Kama Walivyokuahidi CCM 2005 Na 2010? Anayekuuliza Si Mwanasiasa, No! NiMwanaharakati!! Hebu Jiulize Hawa Wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?
1, Ni -----
2, Ni Mjinga
3, Mpumbavu
4, Mwehu
5,Mwendawazimu
6, Una Ubongo Wa kuku? (Msahaulifu)
Mbona Wenyewe Wana Maisha Bora! Kwani Wewe Au Wenzetu Sio Watanzania? Kazi kwako mwezi wa 10 Tar.25 Nikutakie Tafakari Njema!.