Hii ni source ya gazeti lka Mwananchi: Materu, mshona viatu, mkulima anayetafuta shahada ya uzamivuTupe source ya hiyo picha tukajiridhishe kama sio promo at work.
Hata Mimi namkubali yeye Na handsome boy Godwin Mawanja Wa Tv1 Na Efm.Mkuu sidhani ni sawa kuita hizi ni kick, mimi nilisoma makala inayomhusu kwenye gazeti la Mwananchi nikaanza kumfuatilia,. Tuijifunze ku-appreciate vitu vizuri.
kinyume chake mkuu mana sielewag huyu jamaa aliingiaje eatv af hana ubunifu huyu bwana mdogoeatv tbway pekee ndiye mkali wengine jau
Fifi ni habar. nyinginehawa jamaa wanauwezo na jicho kali sana la kugundua watu wenye vipaji na kuna mdada fulani yuko EARADIO anaitwa sijui fifi ana uwezo sana.
Binti anajua sana kumbe anaitwa queen fifi....Fifi ni habar. nyingine
Naona umeamua kujipa kiki, sawa bwana
Teh teh teh...Ah hahahaaa mkuu si uombe mod waverify akaunti yako mana unajipa kiki mwenyewe
jau ndo nini mkuu?eatv tbway pekee ndiye mkali wengine jau
Wanyoa viduku wenzie utawajua tueatv tbway pekee ndiye mkali wengine jau