Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,524
- 3,283
Za Weekend JF,
Nimekuwa nikimfuatilia huyu mtangazaji wa EATV kwa aina yake ya utangazaji, ni mmoja ya watangazaji makini sana wanaochipukia, maana wasoma habari wengi wanaoibuka kwa sasa wamekuwa wakiigana sana kwa jinsi ya kutangaza, nina amini huyu jamaa akiendelea hivyo atakuwa mtangazaji wa kuigwa katika tasnia ya habari.
Kuna makala yake ilitoka kwenye gazeti ikielezea historia yake kuwa msomi mwenye shahada ya uzamili katika ngazi ya utawala wa biashara, amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za ujasiriamali.