gerald anthoni
Member
- Jan 27, 2018
- 80
- 60
Yah manUko final year engineering au?
Google to 'final year electronics engineering projects'Yah man
Unajua tatzo zle za gugo nyng zmefanyka ie n more popular SanaGoogle to 'final year electronics engineering projects'
Utachagua unayotaka hapo au uta add something to make it unique
Hebu zitafsiri hizi tuone mkuu....umeandika kifasta sana!Kuuna Luku vocha universal.
Pia iingie moja kwa moja kama king'amuzi
Embu nijuze Zaid hi technology mkuu wangUkianza na electronic system ya pest repellent utakuwa umesolve tatizo kubwa kwenye jamii.
Hii Idea ishachukuliwa na project yake imeshakamilika inasubiria kufanyiwa uwekezaji tu.Kuuna Luku vocha universal.
Pia iingie moja kwa moja kama king'amuzi
HayaHii Idea ishachukuliwa na project yake imeshakamilika inasubiria kufanyiwa uwekezaji tu.
Hiyo sijawahi sikia Idea mtu akijanayo nazani ipo wazi.Haya
Universal mobile phones voucher..????
Mobile phones without sim card but with only account no
Simu za analogia zilikuwepo zamaniHiyo sijawahi sikia Idea mtu akijanayo nazani ipo wazi.
Zilikuwepo ndio tulipotoka huko mzee wangu ndio maana hizi za sasa wanaziita smartphone yani simu (tanashati) [emoji23][emoji23]Simu za analogia zilikuwepo zamani
Hizo mishe ni pasua kichwa sana, Mana Unakuta hivo vi electronics components una vi solder ila ukifika tu kwa test bench ukipa supply hakuna kitu unabeba unasepaKatika mambo magumu mwaka wa mwisho ni uchaguzi wa project title kisha unajiaandaa vizuri kuitetea inakataliwa mchana kweupe.
Kitu kingine ni prototype implementation vijana wanapata tabu sana, mtu yupo final year ndio anaona kwa mara ya kwanza resitor, inductor, sijui capacitors kwa macho, miaka yote minne ni ma theory tu, halafu lecturers wanavojua kukaza utadhani waliwajengea msingi tangu 1st year.
Binafsi naona hizi project hazina tija kwasababu wengi hawafanyi wenyewe wanafanyiwa na hili ni tatizo la vyuo sio wanafunzi.
Ebwanaee ukipata idea nitafute kama ratiba yangu itaruhusu nipate pesa hapa naona kuna fursa[emoji16]
Hii project inatumia electronic circuit kutengeneza frequency ya sauti ambayo haisikiki na binadamu na hufukuza wadudu waharibifu na wanyama kama panya na kadhalika. Sasa hii system unaweza kupata circuit zake online halafu ukamodify kufit target market yako kama kuwafungia wakulima kuzuia wadudu waharibifu mashambani, kwenye maghala, na majumbani kufukuza nzi, mende, mbu, kunguni na kadhalika.Embu nijuze Zaid hi technology mkuu wang
Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.Habar za jion wadau
Kama uzi unavyojieleza apo juu nilikua naomba mdau mwenye idea za Project za Electronics atushirikishe