Electrical Motor ina-speed zaidi ya Mwanga

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,500
Reaction score
8,650
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa electric motor ambazo zitakuwa zina-speed zaidi ya mwanga na zitakuwa zinatumiwa na rockets

Ni ukweli kwamba technology ya sasa ya electric motor haiwezi kufikia speed ya mwanga, as Technology grow nakuhakikishia electric motor ina-uwezo wa kuwa na speed zaidi ya mwanga

Tunafahamua kabla ya hii humanoid project kulikuwa na project iliyotutangulia kwenye hii project walikuwa na technologies kubwa sana moja wapo ni uwezo wa kusafiri kutoka Mercury mpaka Pluto ndani ya mda mfupi

Lengo ni kurudisha hii technologies iliyokuwepo kabla ya humanoid project
Your browser is not able to display this video.
 
leo ndo nimeamini kweli we jamaa ni kichaa, motor na speeed ya mwanga wapi na wapi, utatumia electrons zipi hizo kufikia speed ya mwanga aha ha aha,haa zilizopo dunan hazifiki huko.
 
Huyu kijana hawez saidia akapona??
 
We kweli dishi linayumba.


Speed ya mwanga ni 300,000km/sec!!!


Ukitaka kutengeneza chombo ambacho kinatembelea na speed ya mwanga inabidi utafute chombo kisichokua na uzito hata wa robo ya gram.... Haya kazi kwako sasa
 
Wanasubiria wazungu waseme inawezekana ili waje wawasifie mimi hawanipi shida ndo maana nashare na nyinyi kile nilichokuwa nacho
 
Kama ina speed zaidi ya mwanga maana yake inaishi katika future?
Lengo ni kureplicate hii process
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tunafahamua kabla ya hii humanoid project kulikuwa na project iliyotutangulia kwenye hii project walikuwa na technologies kubwa sana moja wapo ni uwezo wa kusafiri kutoka Mercury mpaka Pluto ndani ya mda mfupi
 
Hongera, kwakuwa na uwezo wakugikiri hatua 4 mbele zaidi ya watu wa sasa.
 
Siyo mchezo. Labda u distort space na kufanya bending, siku hizi watu wanajaribu kukwepa kusafiri in linear mode maana ni kisanga sana, hivyo hutafutwa namna ya kwenda Kwa kutumia short cut, kitu ambacho kitafanikiwa haraka zaidi miaka mingi mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ