Electrical Motor ina-speed zaidi ya Mwanga

Electrical Motor ina-speed zaidi ya Mwanga

Tukizingatia Black hole ya karibu zaidi (V616 Monocerotis) iko takriban 3,000 light years kutoka Dunia.

Na hizi roketi za kisasa - kufika huko itachukua mamilioni ya miaka.
Tutatengeneza zenye speed ya juu kuliko hata mwanga hivyo usijali bwashee
 
We jamaa ni muongo hata electron tu haiwezi safiri kwa speed ya mwanga,ili kitu kisafiri kwa speed ya mwanga lazima kiwe hakina uzito,Leo electrical motor ije izidi speed ya mwanga,we ni kichaa
 
Tukizingatia Black hole ya karibu zaidi (V616 Monocerotis) iko takriban 3,000 light years kutoka Dunia.

Na hizi roketi za kisasa - kufika huko itachukua mamilioni ya miaka.
Haziwezi chukua mamilion kufika kwenye blackholes zitachukua mda mfupi nimeshakuambia zitakuwa na speed zaidi ya mwanga
 
We jamaa ni muongo hata electron tu haiwezi safiri kwa speed ya mwanga,ili kitu kisafiri kwa speed ya mwanga lazima kiwe hakina uzito,Leo electrical motor ije izidi speed ya mwanga,we ni kichaa
Wewe umekaririshwa hivyo kwa hiyo siwezi kukushangaa
Ukiwa na fikra huru utanielewa hamna jambo rahisi alafu sisi waafrika tunapenda mambo marahisi
 
Wewe subiri siku wazungu waseme inawezekana ndo uunge tela

Unafikri mwaka 2200 huko dunia itakuwa sawa nakuhakikishia kutakuwa na law nyingi mpya za physics sababu hizi zilizopo haziko compatible na future
Kweli inawezekana kama sasa hivi hypotheoritical inasemekana Tachyons zinauwezo wa kusafiri zaidi ya spidi ya mwanga. Hivyo hapo future vitakuwepo vitu vinavyoenda zaidi ya mwanga
 
M = C^2

Ni kwamba mwanga ndio unakufanya uone kitu kwamba kipo pale kwahio wewe ukishakiona tu ni kwamba kimekufikia kwahio ile speed ya kukiona na kukufikia kitu hicho inabidi kiwe hakina uzito wa aina yoyote au utumie mbinu / shortcut au twende kwenye Quantum theory ambapo vitu vinaweza kuwepo sehemu tofauti kwa wakati mmoja... (Ni kwamba Mwanga ni instantaneously

Sauti ni rahisi sana kuizidi ndio maana ukisiona radi (mwanga) ndio baadae unasikia sauti au Ukisikia Paa jua imekukosa aliyelenga hana shabaha au amefanya makosa....

NB: Yaani hio motor yako tuseme inaendesha gari ambalo linaangaziwa na mwanga fulani ni kwamba utakimbia kuzidi huo mwanga na itabidi uwe unasubiri mwanga ukufikie ili uendelee kuona mbele
 
Exactly
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma waafrika ni kutokuwa na uhuru wa kufikiri

Mzungu amehakikisha yeye anakuwa na uhuru wa kufikiri na kukosea hamna shida., ila amehakikisha mwafrika hana huo uhuru kwa hiyo kila anachoongea mzungu yeye ndo final say mwafrika kazi yake ni kufuata na kuunga tela

Mzungu amejiweka kama hakimu wa kuamua hiki ni uongo au ukweli, mwafrika kazi yake ni mpokeaji hukumu hana say yeyote ile yaani anasubiria muongozo wa wazungu

Ndo maana amehakikisha kama unawazo lako basi ni sharti uchapishe kwenye journal zao ili wao wapitishe waseme ni ukweli au la sasa huo ni utumwa
ni sahihi kufikri ila wewe unaenda beyond zaidi unakuwa kama mwenda wazimu afu mbishi ukielekezwa kwamba hicho kitu hakizezekani
ndio changamoto yako
 
Mr President kura zetu umepata vizuri kabisa, ila hayo madude yanafaida gani kwa sisi wananchi wako wa waning'ombe mkoa wa njombe. Nashauri hembu anza na vitu basics then tu advance toka hapo.

Heshima yako.
 
M = C^2

Ni kwamba mwanga ndio unakufanya uone kitu kwamba kipo pale kwahio wewe ukishakiona tu ni kwamba kimekufikia kwahio ile speed ya kukiona na kukufikia kitu hicho inabidi kiwe hakina uzito wa aina yoyote au utumie mbinu / shortcut au twende kwenye Quantum theory ambapo vitu vinaweza kuwepo sehemu tofauti kwa wakati mmoja... (Ni kwamba Mwanga ni instantaneously

Sauti ni rahisi sana kuizidi ndio maana ukisiona radi (mwanga) ndio baadae unasikia sauti au Ukisikia Paa jua imekukosa aliyelenga hana shabaha au amefanya makosa....
Yaani ni hivi labda hajakuelewa, yaani Akiiona black hole tu means mwanga umeshamzidi speed before hajaifikia.

Ila kwa Tech yake anaweza akafanya kitu mkuu - Tumpe kura.
 
electric motor haiwezi kuwa na speed zaidi ya mwanga, wala hata kuifikia.

Sababu Kuu:

1. Kasi ya mwanga ni kikomo cha asili (universal speed limit)

Kasi ya mwanga kwenye ombwe ni takriban m/s (au kilomita 300,000 kwa sekunde).

Hakuna kitu chenye massi (kama vile sehemu za motor — rotor, stator, coil n.k.) kinachoweza kusafiri kwa kasi hii.

2. Electric motor huzunguka, haihamishi kitu kwa mwendo wa mstari wa kasi ya mwanga

Hata motor ya kasi sana kama zile za ndege za kivita au maabara, speed yake hupimwa kwa RPM (revolutions per minute), si kwa m/s kama mwanga.

Kwa mfano: motor ya kisasa ya kasi sana inaweza kufikia kama 100,000 RPM, lakini hiyo ni mbali sana na kasi ya mwanga.

3. Ujenzi wa motor una mipaka ya kimwili

Rotor inapozunguka sana, nguvu ya centrifugal huongezeka, na inaweza kuivunja motor kabla haijakaribia hata asilimia 0.000001 ya kasi ya mwanga.

Vifaa vya kimwili (materials) haviwezi kustahimili kasi ya karibu na mwanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom