The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,227
- 6,376
Ukisoma comment utaona mtu anakuja na majibu ya mzungu kubishana na jamaa, na jamaa amekuja kivyavyake sasa wewe waleta ubishi wa mwenzako ambao sio wako na kuufanya uwe wakoMr president maono yako ni makubwa sana kwa nchi. Akili ndogo watabisha kuwa haiwezekani ila sisi wenye Imani kubwa kwako tunakuunga mkono. Na utakaposhika hatamu mimi nikiwa kama katibu wako binafsi nitahakikisha jambo hili na mengi makubwa na mazuri yanatekelezeka.
Tumechelewa sana.
D nne huweza linganisha na A+ kwenye ufikiri