Kazi ya popular votes katika state ni kumpata mshindi wa electoral votes kwa state hiyo. Hakuna kitu kingine zaidi ya hicho!
Vizuri nimewapata vema sasa naelewa electors, maseneta ni kina nani as well as wawakilishi na jinsi wanavyopatikana.Ahsante kwa kupitia hapa mkuu
Nashukuru kwa Maelezo ya USA election na hasa hizo kura za kumpata Rais.Kumekuwa kuna maswali mengi, kwa nini Trump amepitwa kwa kura lakini kashinda Uraisi? Nataka nitolee maelezo ili tupate kujua kama ifuatavyo, japo maelezo yatakuwa mengi kidogo.
Rais wa Marekani hupatikana kutokana na wingi wa 'electoral votes' ambazo ni kura maalum zinazo wakilisha maamuzi ya jumla ya watu wa majimbo mbali mbali ya marekani. Na hili ni jambo la kikatiba na kundi la wapiga kura za electoral votes huitwa electoral college
Kwanini electoral college?
Marekani ni muunganiko wa majimbo {federal state) na si jamuhuri ya watu wa marekani kama ilivo TZ (republic) hivo, rais lazima ashinde uwakilishi mwingi wa majimbo na si idadi ya watu.
Pia waanzilishi wa taifa la marekani waliona majimbo makubwa yata wanyanyasa majimbo madogo, kwani kama mfumo wa wengi wape ukitumika mwenye jimbo dogo ndio asingesikilizwa kila maamuzi yanapo fanyika yakiwemo ya uchaguzi
Idadi ya electoral votes
Zipo 538 amabzo zina wakilisha idadi ya viti vya majimbo yote kwenye baraza la wawakilishi (435) na seneti (100) pia kwa sababu washington si jimbo ila ni wilaya maalum yenyewe inapata nafasi (3) za upendeleo hapo unapata jumla ya 538. Ili uwe rais wa Marekani lazima ufikishe electoral votes kuanzia 270 ambayo ni zaidi ya nusu ya electoral college yote.
Majimbo mengi mshindi huchukua electoral votes zote, kasoro Maine na Nebraska ambapo mshindi na mshindwa hugawana electoral votes ikiwa mshindwa kashinda kwenye congresional district pia.
Electors ni kina nani?
Kwa kuwa katiba ya marekani hairuhusu wawakilishi au maseneta kupiga kura kama electors, kila jimbo huwa na utaratibu wake wa kupata watu watakao kwenda kupiga kura rasmi katika electoral college, ambao wengi hutokana na chama kilicho shinda kwenye jimbo hilo, pia wengi huwa hawajulikani kwani ni hatari kwa usalama wao na ili kuepuka vishawishi mbali mbali siku ya kuchagua yenyewe. Tukio la kupiga kura rasmi hufanyika siku tofauti na uchaguzi wa wananchi, mfano mwaka huu kura rasmi za electoral college zitapigwa disemba 19, na hapo ndio trump atathibitshwa rasmi kama rais mteule. Electors wanaweza kubadili mawazo kwa kuchagua mgombea ambaye jimbo lake halikumchagua. Kwa hiyo hata Rais mteule Trump bado hajapita rasmi kwani electoral college inaweza kuwageuka wana nchi wao hiyo tarehe 19 ya mwezi ujao. lakini hii huwa ngumu sana kwani majimbo mengi yana viapo vikali ili kuhakikisha hubadilishi kura yao kwa hiyo tuna tegemea apite
Kama wagombea wote hawata fikisha electoral votes270
Uchaguzi hupelekwa kwa baraza la wawikilishi ambao huchagua rais kwa niaba ya majimbo yao, lakini huchagua wanavo taka, hivo hii huwa faida kwa chama kilicho na wabunge wengi.
Faida na hasara za electoral college
Faida zake ni kuwa majimbo makubwa pekee ni ngumu kuamua mshindi, mfano county ya Los Angeles peke ina watu milioni 8.2, hii ni sehemu tu ya jimbo la California, lakini jimbo zima la idaho lina watu milioni 1 hivo inawezekana hata wakat wa kampeni wagombea wakapiga kambi LA na wasikanyage Idaho hivyo jimbo zima la Idaho kupoteza umuhimu katika maamuzi makubwa ya nchi. Pia mara nyingi watu walioko mijini ambao kwa kawaida huwa wengi si rahisi kuwa control watu walioko vijijini kwani huwa wachache, mfano uchaguzi huu watu wa vijijini ndio wame mpitsha Trump kwa wingi kuwa rais, faida nyingine ni kwa kuwa marekani huwa na wagombea wawili tu wenye nguvu hivo kila jimbo huwa na umuhimu kwani kila electoral vote huwa ina changia kushinda mfano clinton kashindwa Wisconsin kwa sababu hakwenda kupiga kampeni akidhani atashinda kwani ni jimbo linalopendelea kuchagua democrat hivo kapoteza electoral votes 10 zilizo enda kwa Rais mteule Trump
Hasara
Mfumo huu hata wamarekani wenyewe wengine hawaujui ndio maana unaona kelele nyingi, askudanganye mtu kwa kuwa yuko USA wengi hawaujui na kwa kuwa hutokea mara chache mambo yakawa kama ya Rais mteule Trump basi wanakasirika halafu wanasahau na kupuuzia.
Pia kwa kuwa kuna majimbo ambayo siku zote yamekuwa yaki jihusianisha na vyama, mengine huwa democrat mengine huwa republican, wagombea hutumia muda wao mwingi kuwepo kwenye majimbo ambayo hubadilika badilika kama vile Ohio na Florida.
Hasara nyingine mtaongeza wenyewe.
Mwisho
Ni mara chache sana hutokea hali kama hii ambapo mshindi wa jumla aka shindwa kuwa raisi na imetokea mwaka 1824, 1876, 1888, 2000, na 2016.
Hivo kura za wamerekani zina umuhimu katika kuamua electoral vote ya jimbo la mpiga kura iende kwa nani, pia ina ondoa uwezekano wa watu wengi wa sehemu moja kuwa amulia watu wa maeneo mbali mbali, mfano rais mteule Ttrump kashinda majimbo karibu 30 kati ya 50 hivo majimbo mengi yana mtaka yeye.
*Karibuni kwa masahihisho au nyongeza
Tafadhali mods msiunganishe uzi huu na uzi wowote.
Gavana ndiye rais wa jimbo, ni chief executive officer wa jimbo, mkuu wa state na mkuu wa serikaliVizuri nimewapata vema sasa naelewa electors, maseneta ni kina nani as well as wawakilishi na jinsi wanavyopatikana.
Sasa naomba turudi kwa huyu mtu anaeitwa Gavana....Huyu ni nani anapatikanaje?
Shukrani in advance!
Hujanipa ufafanuzi kuhusu hiyo tar 19 Dec kama ulivyosema wanachagua Rais,pamoja na kiapo unatarajia kweli wachague tofauti na Trump?!Kumekuwa kuna maswali mengi, kwa nini Trump amepitwa kwa kura lakini kashinda Uraisi? Nataka nitolee maelezo ili tupate kujua kama ifuatavyo, japo maelezo yatakuwa mengi kidogo.
Rais wa Marekani hupatikana kutokana na wingi wa 'electoral votes' ambazo ni kura maalum zinazo wakilisha maamuzi ya jumla ya watu wa majimbo mbali mbali ya marekani. Na hili ni jambo la kikatiba na kundi la wapiga kura za electoral votes huitwa electoral college
Kwanini electoral college?
Marekani ni muunganiko wa majimbo {federal state) na si jamuhuri ya watu wa marekani kama ilivo TZ (republic) hivo, rais lazima ashinde uwakilishi mwingi wa majimbo na si idadi ya watu.
Pia waanzilishi wa taifa la marekani waliona majimbo makubwa yata wanyanyasa majimbo madogo, kwani kama mfumo wa wengi wape ukitumika mwenye jimbo dogo ndio asingesikilizwa kila maamuzi yanapo fanyika yakiwemo ya uchaguzi
Idadi ya electoral votes
Zipo 538 amabzo zina wakilisha idadi ya viti vya majimbo yote kwenye baraza la wawakilishi (435) na seneti (100) pia kwa sababu washington si jimbo ila ni wilaya maalum yenyewe inapata nafasi (3) za upendeleo hapo unapata jumla ya 538. Ili uwe rais wa Marekani lazima ufikishe electoral votes kuanzia 270 ambayo ni zaidi ya nusu ya electoral college yote.
Majimbo mengi mshindi huchukua electoral votes zote, kasoro Maine na Nebraska ambapo mshindi na mshindwa hugawana electoral votes ikiwa mshindwa kashinda kwenye congresional district pia.
Electors ni kina nani?
Kwa kuwa katiba ya marekani hairuhusu wawakilishi au maseneta kupiga kura kama electors, kila jimbo huwa na utaratibu wake wa kupata watu watakao kwenda kupiga kura rasmi katika electoral college, ambao wengi hutokana na chama kilicho shinda kwenye jimbo hilo, pia wengi huwa hawajulikani kwani ni hatari kwa usalama wao na ili kuepuka vishawishi mbali mbali siku ya kuchagua yenyewe. Tukio la kupiga kura rasmi hufanyika siku tofauti na uchaguzi wa wananchi, mfano mwaka huu kura rasmi za electoral college zitapigwa disemba 19, na hapo ndio trump atathibitshwa rasmi kama rais mteule. Electors wanaweza kubadili mawazo kwa kuchagua mgombea ambaye jimbo lake halikumchagua. Kwa hiyo hata Rais mteule Trump bado hajapita rasmi kwani electoral college inaweza kuwageuka wana nchi wao hiyo tarehe 19 ya mwezi ujao. lakini hii huwa ngumu sana kwani majimbo mengi yana viapo vikali ili kuhakikisha hubadilishi kura yao kwa hiyo tuna tegemea apite
Kama wagombea wote hawata fikisha electoral votes270
Uchaguzi hupelekwa kwa baraza la wawikilishi ambao huchagua rais kwa niaba ya majimbo yao, lakini huchagua wanavo taka, hivo hii huwa faida kwa chama kilicho na wabunge wengi.
Faida na hasara za electoral college
Faida zake ni kuwa majimbo makubwa pekee ni ngumu kuamua mshindi, mfano county ya Los Angeles peke ina watu milioni 8.2, hii ni sehemu tu ya jimbo la California, lakini jimbo zima la idaho lina watu milioni 1 hivo inawezekana hata wakat wa kampeni wagombea wakapiga kambi LA na wasikanyage Idaho hivyo jimbo zima la Idaho kupoteza umuhimu katika maamuzi makubwa ya nchi. Pia mara nyingi watu walioko mijini ambao kwa kawaida huwa wengi si rahisi kuwa control watu walioko vijijini kwani huwa wachache, mfano uchaguzi huu watu wa vijijini ndio wame mpitsha Trump kwa wingi kuwa rais, faida nyingine ni kwa kuwa marekani huwa na wagombea wawili tu wenye nguvu hivo kila jimbo huwa na umuhimu kwani kila electoral vote huwa ina changia kushinda mfano clinton kashindwa Wisconsin kwa sababu hakwenda kupiga kampeni akidhani atashinda kwani ni jimbo linalopendelea kuchagua democrat hivo kapoteza electoral votes 10 zilizo enda kwa Rais mteule Trump
Hasara
Mfumo huu hata wamarekani wenyewe wengine hawaujui ndio maana unaona kelele nyingi, askudanganye mtu kwa kuwa yuko USA wengi hawaujui na kwa kuwa hutokea mara chache mambo yakawa kama ya Rais mteule Trump basi wanakasirika halafu wanasahau na kupuuzia.
Pia kwa kuwa kuna majimbo ambayo siku zote yamekuwa yaki jihusianisha na vyama, mengine huwa democrat mengine huwa republican, wagombea hutumia muda wao mwingi kuwepo kwenye majimbo ambayo hubadilika badilika kama vile Ohio na Florida.
Hasara nyingine mtaongeza wenyewe.
Mwisho
Ni mara chache sana hutokea hali kama hii ambapo mshindi wa jumla aka shindwa kuwa raisi na imetokea mwaka 1824, 1876, 1888, 2000, na 2016.
Hivo kura za wamerekani zina umuhimu katika kuamua electoral vote ya jimbo la mpiga kura iende kwa nani, pia ina ondoa uwezekano wa watu wengi wa sehemu moja kuwa amulia watu wa maeneo mbali mbali, mfano rais mteule Ttrump kashinda majimbo karibu 30 kati ya 50 hivo majimbo mengi yana mtaka yeye.
*Karibuni kwa masahihisho au nyongeza
Tafadhali mods msiunganishe uzi huu na uzi wowote.
Hujanipa ufafanuzi kuhusu hiyo tar 19 Dec kama ulivyosema wanachagua Rais,pamoja na kiapo unatarajia kweli wachague tofauti na Trump?!
Nilikuwa nimesoma hapo ndo maana nikaomba ufafanuzi.Mkuu, mpaka sasa bado kura za "popular vote" zinahesabiwa na kuna uwezekano wa Hillary Clinton kufikisha kura milioni 2 ikifika tarehe 19 December.
Na pia mpaka sasa Hillary Clinton ameongezea kura 400,000 zilizohesabiwa na hivyo kufikisha kura milioni 60.4 kulinganisha na kura milioni 60 za Donald Trump.
Hivyo Hillary Cilnton anaweza kuwa mshindi (siyo raisi) kwa kura za "popular votes", lakini Donald Trump bado anaendelea kuwa raisi kwa vile ameshinda majimbo muhimu kama Florida, Ohio na Pennsylvania.
Yaani kwa kifupi ni kwamba matokeo haya yanafanana na yale ya George Bush ambae mwaka 2000 alishinda kwa kura za majimbo muhimu au "Swing States" dhidi ya Al Gore ambae alipata kura nyingi za "popular vote."
Lakini ukweli unabakia kuwa raisi wa 45 wa Marekani kwa sasa ni raisi mteule Donald Trump.
Tarehe 19 dec, electors ndio watakaa na kuyatafsiri matokeo kama yalivo, ili sasa lubuva wa Marekani atangaze matokeao rasmi ya urais. katika miaka karibu 80 iliyo pita ni electors wawili tuu ndio wali haribu kura na kutompa mshindi.Hujanipa ufafanuzi kuhusu hiyo tar 19 Dec kama ulivyosema wanachagua Rais,pamoja na kiapo unatarajia kweli wachague tofauti na Trump?!
Nilikuwa nimesoma hapo ndo maana nikaomba ufafanuzi.View attachment 433742
Mostly nime elezea tayari kwenye posts zilizo pita ika inshortMkuu cjaelewa sasa hizo kura za ushindi trump kazipataje na unasema kura rasmi ni tareh 19 December ,weka wazi
nafikiri amekosea kusema kwamba kura rasmi, alipaswa kusema kula za jumla zitatajwa tarehe 19 December ingawa hazitoweza kubadili matokeo.
Naomba nikiri binafsi sikua naelewa vizuri mchakato huu ulivyo. Ila kadri nlivyokua nazidi kusoma comments zako za majibu nahisi nimeelewa picha lilivyo. Shukrani sana mkuu.
Nimeelewa kua: hata kama hillary alipata kura nyingi kiasi gani za wananchi katika state husika, anachopata ni electoral votes husika, kama ni 5 basi 5. kitu ambacho bado sijajua ni kua kilichompitisha hasa trump ni kushinda states nyingi au states chache ila zenye allocation kubwa ya electoral votes.