Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
- Thread starter
- #101
Electoral votes, ni kura zinazo wakilisha ushindi wa jimboHongera sana mkuu kwa uchambuzi wako,lakini bado kuna vijimaswali je hizo au hao electral votes ni watu au ni vitu gani?? naomba majibu kwa kutolea mfano ingekuwa Tz
Electors, ni wapiga kura ambao wanatumwa na jimbo wakapige hizo kura kama vile jimbo lilivo amua
Electoral college ni mkusanyiko wa electors wanao enda kupiga kura(electoral votes), kwa ajili ya kumthibitsha rasmi rais wa Marekani