Ni kweli uko sahihi, maandamano yana lengo ya kuwachanganya electors wa flip kura zao, hayata fanikiwa kwani sehemu nyingi alizo shinda Trump watu wamechill tuu. Maandamano yapo maeneno ya California, oregon, new York, vermont na baadhi ya sehem za Florida ambazo Trump hakuwa na influence.
Electors wengi hupelekwa na chama kilicho shinda kwnye jimbo hilo, hivo Repubkican watakuwa na electros 306 na democrats watakuwa na hao waliobaki, kuna majimbo huwataja electors wake ila mengi haya wataji, kwa kuwa Republicans wote washa mkubali Trump ni shda sana wao kutoka na kusema hawamtaki, pia state nyingi zimeweka sheria kali kwa elector atakaye flip kura, na hata wakisema wa flip watakuwa wana tafuta vita, na urais wa Clinton utakuwa mgumu kwani kwenye baraza la wawakilishi bado republicans ndio wengi na kwenye senet republicans ndio wengi, hivo electors wanahisiwa kuwa wata baki vile vile kwa Trump
Mkuu nakushukuru sana.
Kama upo USA nina imani upo kihalali achana na wale wanaolalamikia ushindi wa Trump kama kajipatia mwenyewe hizo kura alizopata.
Naomba nisaidie tena;
Sijaelewa kuhusu mgawanyo huu kuhusu haya majimbo ya Maine na Nebraska,na kwa nini iwe kwa haya majimbo?Majimbo mengi mshindi huchukua electoral votes zote, kasoro Maine na Nebraska ambapo mshindi na mshindwa hugawana electoral votes ikiwa mshindwa kashinda kwenye County nyingi pia.