States ndogo zitakataa ku utoa huu mfumoDah!! Hii imenipunguzia ujinga, kwa kweli hawa wanakanganya sana na hii itasababisha vurugu kwao, maana mgombea anapata kura nyingi za wananchi halafu anapigwa chini na kundi la watu wachache. Warekebishe maana siku zijazo haitaisha vizuri hii.
Dah!! Hii imenipunguzia ujinga, kwa kweli hawa wanakanganya sana na hii itasababisha vurugu kwao, maana mgombea anapata kura nyingi za wananchi halafu anapigwa chini na kundi la watu wachache. Warekebishe maana siku zijazo haitaisha vizuri hii.
...
Lakini katiba iliwapa uhuru electors ili kama mgombea ambaye watu walimchagua ana dalili zote za kuto faa kuwa rais(mfano amethibitika ni kichaa), wao wabadilishe matokeo kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa.
Siku zote mgombea anavo ingia kwenye uchaguzi lazima ajue kuwa mfumo huo una shida na ajue eitherUchaguzi wa 2016 umeionesha kasoro ya electoral college system kwa uwazi zaidi. Matokeo ya mwisho yanaweza kuwa T310 - C228 au kitu kama hicho. Katika hali ya kawaida, ushindi wa range kama hii ungempa mshindi wa electoral votes ushindi wa popular votes pia. The allocation of electoral college is no longer in synch with the population size of each state!
Upo sahihi kabisaTrump, Rais mteule analijua hilo hapo juu na ndiyo maana kauli tete zake kwenye mitandao yake ya kijamii, ama amezifuta au amezibadili, na kwenye maongezi na Rais Obama ameonesha unyenyekevu (kwa kuwa hakutarajia hayo matokeo ya awali ya 'electral vote').
Lakini naamini "electoral voters" kama hawatashawishiwa kinamna (uwezekano ni mkubwa kwa utajiri wake Trump), huenda akaukosa Urais. Nguvu za wapiga kura wa Marekani kupinga matokeo ya "electral votes" pia zaweza kuchangia.
Pamoja na yote hayo, bado ukweli ni kwamba Chama cha 'Republican' kimeongoza kwenye vikao vya Kikatiba dhidi ya 'Democrat' (US Senate 51-48; na US House 239-192). Matokeo hayo ni nguvu tosha kwa Trump kuwa Rais, japo kapata 47% ya 'popular votes'.
Kwa nini?Tafadhali mods msiunganishe uzi huu na uzi wowote.
Kila state ina idadi ya electoral votes zake. Hizo ndizo anazopewa mshindi (kwenye states zinazofuata winner-takes-all allocation system) au zinazofanyiwa allocation kwa wagombea kutegemea na performances zao kwenye maeneo tofauti tofauti ya state (kwenye states zinazofuata proportional allocation system); sio kura za mtu mmoja mmoja (popular votes) alizopata kwenye hiyo state.
Kuna mtu aliuliza kwa nini baadhi ya state zinafuata proportional allocation system huku zingine zikifuata winner-takes-all allocation system? USA kila state ina judiciary system yake, ambayo ni tofauti na ya state nyingine, ilimradi haikinzani na U.S. Constitution. Kwa hiyo uchaguzi wowote ule unaendeshwa kwa kufuata sheria ya uchaguzi ya jimbo husika. Utaratibu huu unaifanya USA kuwa almost like a NATION of nations!
Hapana electoral votes zimegawanywa kutokana na wingi wa wawakilishi kwenye majimbo yote ulivyo
Mafano California ndio jimbo kuvwa kuliko yote, lina masenenta wawili na wawakilishi 53 hivo 2+53=55 , electoral votes za california ni 55
Lakini wyoming lina maseneta 2 na muwakilishi m 1 hivo 2+1=3
Hivo ukishinda California unapata kura 55 na ukishinda Wyoming unapata kura 3.
Ukisoma pale juu nilikujuza kwamba electoral votes ziko 538, zina wakilisha viti vya wawakilishi ambavyo viko 435, na viti vya maseneta ambavyo viko 100, lakini washington dc makao makuu wanapata kura za upendeleo 3
*Kwa hiyo ukitaka kujua kila jimbo mshindi ana pata electoral votes ngapi, angalia kwenye bunge jimbo hutoa maseneta wangapi na wawakilishi wangap halafu jumlisha ndio unapata electoral votes zake.
Mkuu hao electoctor na representative wanakua wakila vyama au hawafungamani na vyama?Upo sahihi kabisa
Democrats wajifunze kuwa kwa sasa wamekuwa chama cha upinzani rasmi
Usisahau kuwa majimbo ambayo yana magavana na majority of state assemby wa Democrat ni 6 tuu, chama ki ujimla kimekufa nusu kaputi, hata Clinton aki ingia atapata kazi kutoka kwa kila angle jinsi republicans walivoshikilia karibu kila level
Wajipange next time warudi upya
Mkuu naona majority votes hazina nguvu yotote labda kuchagua wabunge na magavana tuu tuu wa states ambao wao ni kama marais wa state husika. mfano arnold shozniga aliwahi kuwa gavana wa califonia miaka ya nyuma.Asanteni kwa ufafanuzi mzuri sasa nimepata picha halisi. Lakini bado nina swali
Je upi umuhimu wa hizo kula za wananchi (popular votes)? Kama hazina manufaa kwa wagombea si ni sawa na kuwapotezea mda watu kukaa foleni kupiga kura?
Je mshindi kwa kila electoral votes hizo 538 anapatikanaje?
Au mnamaanisha kwamba mgombea akishinda kwa popular votes kwa jimbo fulani let's say California ndio anakuwa-allocated hizo 55 electoral votes?
Upo sahihi kabisa
Democrats wajifunze kuwa kwa sasa wamekuwa chama cha upinzani rasmi
Mdau kumbe tupo pamoja tunakula pindi mdogo mdogo mpaka kielewekeMkuu hao electoctor na representative wanakua wakila vyama au hawafungamani na vyama?
Mf kama clinton alishinda calfornia it means senator na representative angewachukua wote 55 au inakuaje hapo?
Nieleweshe mkuu kidogo sasa naelekea kuusoma mchezo.
Sasa kama ndo hivyo mkuu mgombea anashindaje jimbo nakuwa-allocated hizo electoral votes za jimbo husika?Mkuu naona majority votes hazina nguvu yotote labda kuchagua wabunge na magavana tuu tuu wa states ambao wao ni kama marais wa state husika. mfano arnold shozniga aliwahi kuwa gavana wa califonia miaka ya nyuma.
Ndo nataka ice man aje atuelezee.Sasa kama ndo hivyo mkuu mgombea anashindaje jimbo nakuwa-allocated hizo electoral votes za jimbo husika?
Asanteni kwa ufafanuzi mzuri sasa nimepata picha halisi. Lakini bado nina swali
Je upi umuhimu wa hizo kula za wananchi (popular votes)? Kama hazina manufaa kwa wagombea si ni sawa na kuwapotezea mda watu kukaa foleni kupiga kura?
Je mshindi kwa kila electoral votes hizo 538 anapatikanaje?
Au mnamaanisha kwamba mgombea akishinda kwa popular votes kwa jimbo fulani let's say California ndio anakuwa-allocated hizo 55 electoral votes?
Mkuu hao electoctor na representative wanakua wakila vyama au hawafungamani na vyama?
Mf kama clinton alishinda calfornia it means senator na representative angewachukua wote 55 au inakuaje hapo?
Nieleweshe mkuu kidogo sasa naelekea kuusoma mchezo.
Asanteni kwa ufafanuzi mzuri sasa nimepata picha halisi. Lakini bado nina swali
Je upi umuhimu wa hizo kula za wananchi (popular votes)? Kama hazina manufaa kwa wagombea si ni sawa na kuwapotezea mda watu kukaa foleni kupiga kura?
Je mshindi kwa kila electoral votes hizo 538 anapatikanaje?
Au mnamaanisha kwamba mgombea akishinda kwa popular votes kwa jimbo fulani let's say California ndio anakuwa-allocated hizo 55 electoral votes?
Hata usijali Trump atapata shida na liberals kuliko hata Republicans kwa kuwa yuko Mike Pence ata kuwa Makamu wa Rais mwenye nguvu ata ongoza tu, Trump ni kama Bush staff wa chini ndio wata msaidia au kumuingiza chakaPamoja na hilo, bado Trump akitawazwa rasmi kuwa Rais, uchache wa 'Democrats' siyo hoja yanapokuja masuala ya Kitaifa Kikatiba. Naamini Trump atapata wakati mgumu, ndani na nje ya chama chake, kupitisha ya kwake.
Patakapotokea kutokuelewana, kwa hali ya juu, ndani ya hivyo vikao, ustawi wa Marekani utakuwa mashakani.
Trump anaingia madarakani wakati mgumu sana wa Marekani kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiteknolojia duniani. Nchi kubwa kama China na Urusi (NATO inaparaganyika) nadhani zimejiweka mkao wa kula "standby" tu.