Yaani ukiwa tabora eid ni hakuna!?.. acha upimbi wewe!!Inategemea na wewe upo sehem gani...Kama ni Pwani yani (Dar, Zenji, Tanga, Mtwara na Pwani) utaona Eid, Xmas, then pasaka ya mwisho.. lakini ukiwa mikoa iliyobaki Tz ni Xmas, pasaka the Eid ya mwisho.
Kwamba kagera hakuna uislam!!..watoto bwana,kagera ilikua ndani Buganda empire ambayo ilikua ikiendeshwa kwa sharia za kiislam,kuna mji kagera ni uislam tupu,jifunzeUnaenda Kagera uwambie leo sikukuu ya Idd watu watakushangaa! Kwa maeneo ya pwani sawa lakini kwinginrko ni big no!
Ila kanda ya ziwa ukitoa makao makuu ya mkoa mwingine hawajui EidKwamba kagera hakuna uislam!!..watoto bwana,kagera ilikua ndani Buganda empire ambayo ilikua ikiendeshwa kwa sharia za kiislam,kuna mji kagera ni uislam tupu,jifunze
Ni hivi,kila mjini Tanzania hii dini ya kwanza kufika ni uislam,maana ukiristo haikuwepo tz miaka 155 iliyopita,kila mjini hapakosi msikiti... uislam ukinasbishwa na waswahili,huko nyuma wapagani wa tz wakiwaita waislam waswahili, kusema Kuna mikoa hawajui idi ni uwongo usio maanaIla kanda ya ziwa ukitoa makao makuu ya mkoa mwingine hawajui Eid
Sijakaa tabora...Labda? Huko probably ni 50/50Yaani ukiwa tabora eid ni hakuna!?.. acha upimbi wewe!!
Umejitahidi kuchambua vizuri hongera nimekuelew ilaa hapo azam anaingiaje?? Kwanza azam ni media ya juzi kabla haikuwepo,Ok labda namm niweke sawa
Kwa dsm
Wilaya ya Temeke
Mbagala,tandika,buza,keko mbgala kuu.wengi ni waislam..eid huw ni skukuu kubwa sana..ndo kunaongoza kwa UMASKINI
Ilala
Imegawanyika kwa maeneo mfano boma,buguruni,kkoo wengi ni waislam..ukienda g mboto.l,kivule,chanika,pugu ule ukanda wa kristo ni wengi mno
Kinondoni
Magomeni,kigogo,,mburahati,manzese waislamu wengi sana..ukienda Mbezi beach,kawe,africana,,tegeta,makongo juu.survey,mwenge,masaki,osterbay..kule WAKRISTO wengi sana..
Ubungo
Wakristo wengi zaid ya waislamu
Kwa dsm mm nasema waislam ni 60% kwa 40% wakristo...
Mwisho now EID inakuwa na nguvu kwa sababu ..media kubwa AZAM inamilikiwa na bakhersa ambaye ni muislam na MBAGUZI SANA...kipindi cha mfungo anatumia nguvu kubwa sana ku PROMOTE..pasaka na chrismas anakuwa kama ANASUA SUA HV..kama mmegundua christmas iliyo pita ni nadra sana kuon chanel za azam zikicheza ile JINGLE ya christmas..
Azam ukiachana na kuwa media tu kuna agenda ya UDINI PIA.kuudogodesha UKRISTO ambayo ndio dini kubwa TANZANIA..ALMOST 70% YA WATANZANIA NI WAKRISTO..30% NI WAISLAMU.tena ni sababu ya ZANZIBAR kwa muujibu wa WIKPEDIA
Kwangu christmas ndio skukuuu KUBWA TZ
Mkuu nondo hizi nilikua sizijui[emoji120][emoji120]Ni hivi,kila mjini Tanzania hii dini ya kwanza kufika ni uislam,maana ukiristo haikuwepo tz miaka 155 iliyopita,kila mjini hapakosi msikiti... uislam ukinasbishwa na waswahili,huko nyuma wapagani wa tz wakiwaita waislam waswahili, kusema Kuna mikoa hawajui idi ni uwongo usio maana
SawaaaaChristmas... Christmas... Christmas...
1. Ni sikukuu ya kufungia mwaka
2. Ikifika Disemba tu huwa zinaanza zile nyimbo za kuikaribisha.. Mary's boy child... Feliz navidad... jingle bell...
3. Ni sikukuu ambayo karibu kila ofisi inapambwa vizuri... na hata hata baadhi ya nyumba pia
4. Naamini kuwa ni sikukuu ambayo ina biashara zaidi... kununua na kuuza mapambo
5. Tofauti na Eid na Pasaka ambazo watu kufunga na ni kama husheherekea kumaliza mfungo (na sio sikukuu yenyewe) hii watu hawafungi wala nini ila inakuja kama ilivyo..
6. Imeongozana na sikukuu kubwa pia (ya Mwaka mpya) ila imeweza kutoboa na kusimama kuwa moja ya sikukuu kubwa.
Hakika Watumi walijua kutucheza na kuunda hili dude
[emoji28][emoji28][emoji28]Ivi ukijiangalia unajiona una akili kabisa hatawanao wanakuona huna akili wanaogopa kukwambia tu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe naamn katika dini yang ila huu utaratibu ni mzuri kwa sababu inaondoa matabaka baina yetu.Kuna mpakistani m'moja nilikuwa napiga nae story alisifia sana Tanzania kuwa wanatabia za umoja na kushirikiana kama familia moja.
Alishangaa sana kila sikukuu watu hatuendi kazini hata kama ni ya dini fulani ila sote hatuendi inakuwa mapumziko.