Eid Vs Pasaka na X-mass

Kwa Dar Iddi ni fungulia dog. Bar, hoteli, migahawa, gest wote wanaingiza mkwanja.
 
Unaenda Kagera uwambie leo sikukuu ya Idd watu watakushangaa! Kwa maeneo ya pwani sawa lakini kwinginrko ni big no!
Same to Pasaka, X mass kwa mikoa ya Pwani na kanda ya Kati, KIGOMA, TABORA, DOM, MORO huko Eid huwa na Vibe kutokana na Majority ya Waislam. Na karibu majiji Yote isipokuwa MBEYA.
Mikoa ambayo EID haina VIBE ni MBEYA, IRINGA, RUVUMA, NJOMBE, SHINYANGA, MARA na RUKWA.
 
Kuhusu ipi inafana zaidi inategemea na wapi unaishi na jamii inayokuzunguka ni watu wa mlengo upi.
Usitarajie matokeo utakayopata Mikoa kama Pwani, Tanga, na Lindi itaweza kufanana na Mikoa ya bara kama Mbeya, Mwanza na Arusha
 
kweli sikukuu ni za kitaifa lakini huwa zinabamba kulingana na maeneo.Mf sikukuu ya id maeneo ya zanzibar,dar,mtwara,lindi haifanani na mbinga au njombe hata mbeya,upo?
 
wanyakyusa huwaambi kitu kuhusu nane nane ni moja la sikukuu kwao yaaan mtoko haswaaaa wanapika mpka pilau na nguo mpya hizo nyingne zilizobaki zinawahusu nyie watu wa dar
 
Christmas ndio sikukuu pendwa duniani kote. Idd haifikii hata nusu ya inavyosherehekewa Christmas. Hapa Tanzania ndio kabisa kila kona ya nchi inakuwa na heka heka ya maandalizi. Na watu wengi wanaamua kwenda kusherehekea vijijini kwao
 
kweli sikukuu ni za kitaifa lakini huwa zinabamba kulingana na maeneo.Mf sikukuu ya id maeneo ya zanzibar,dar,mtwara,lindi haifanani na mbinga au njombe hata mbeya,upo?
Hapo nimekupata mkuu, kama Eid ya znz ni balaaa sijawah ona sikukuu kama ile.
 
Christmas ndio sikukuu pendwa duniani kote. Idd haifikii hata nusu ya inavyosherehekewa Christmas. Hapa Tanzania ndio kabisa kila kona ya nchi inakuwa na heka heka ya maandalizi. Na watu wengi wanaamua kwenda kusherehekea vijijini kwao
Maandalizi ya eid ni almost whole month of ramadhani, lakini nahisi ni kutokana na maeneo
 
wanyakyusa huwaambi kitu kuhusu nane nane ni moja la sikukuu kwao yaaan mtoko haswaaaa wanapika mpka pilau na nguo mpya hizo nyingne zilizobaki zinawahusu nyie watu wa dar
kweli kila watu na siku kuu yao
 
Mkuu sikukuu za kikristo usifananishe na za kiislam.....za kikisristozinasheherekewa kwa ukubwa sana sana
Wapi huko? Vijijini lkn sio JIJINI DAR ES SALAAM.

DAR, X MASS + PASAKA ni sikukuu za Kawaida ukilinganisha na EID hasa hii ya ul Fitr.

X mass ni huko Mbeya kwa walima viazi.
 
Ndo nafika muda huu humu ndani, nauliza wale waslamu swala 5 hawajaja kukukaanga baada ya kusema unapeta fresh na sikukuu za kikristo
 
Duh hii post imeakisi jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…