SafiUnyama sana sisi wengine sikukuu yetu ni kula pilau tu,
Sehem za bata nyingi huwa zinafanyiwa marekebisho kipind cha ramadhan kwa sabab biashara za aina hiyo huwa zinadororaWewe kumbe hujasikia baa zilifungwa Tabata na sinza na leo ndo zinafunguliwa.
For real eid inakuwaga hot for everyone kwa sababu naturally kuna mazingira huwa yanawabana wote waislam na wakristo kipind cha ramadhan then after wanakua kama funguliA mbwaSehem za bata nyingi huwa zinafanyiwa marekebisho kipind cha ramadhan kwa sabab biashara za aina hiyo huwa zinadorora
Lkn siku ya Eid wanapiga pesa mpaka wanapagawa
Inategemea na wewe upo sehem gani...Kama ni Pwani yani (Dar, Zenji, Tanga, Mtwara na Pwani) utaona Eid, Xmas, then pasaka ya mwisho.. lakini ukiwa mikoa iliyobaki Tz ni Xmas, pasaka the Eid ya mwisho.For real eid inakuwaga hot for everyone kwa sababu naturally kuna mazingira huwa yanawabana wote waislam na wakristo kipind cha ramadhan then after wanakua kama funguliA mbwa