Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,706
- 8,686
Mama umechelewa ungewahi jana mualiko ungepata na pilau ungekula!, sasahivi kuna makoko tu vipi unakulaga..?😁Wasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
🥰💌 Hivyo hivyo tunalumangia Bora upendo tuMama umechelewa ungewahi jana mualiko ungepata na pilau ungekula!, sasahivi kuna makoko tu vipi unakulaga..?😁
Shukrani 🙏🏽 heri ziwe kwako pia...Sikukuu njema na heri kwenu Muheshimiwa
🥃🥰💌 Hivyo hivyo tunalumangia Bora upendo tu
Mama kwa jinsi tunavyokukubali tulitegemea ungetualika nyumbani kwako tujumuike pamoja kula sikukuu ya mtume wetu, huku tukitafakari mustakabali mzima wa jamii yetu na hawa kataa ndoa..!!
Kwahiyo mpo beach na baba? 😜
Enjoy Mama
Days are numbered only 3 months left in red carpet get well prepared
This time Election no favor
Eid Mubarak indeed
Kwahiyo namzidi kaka Luca na tlaatlaah 😹😹😹We! Acha uchawa 😂
Na siyataki kabisa.... 🥰💌Eid Mubarakhuna makuu mama yetu
🤝Shukrani 🙏🏽 heri ziwe kwako pia...
na kwako pia 🥰Na siyataki kabisa.... 🥰💌Eid Mubarak
Shukrani sana Dr , naomba kwenye list ya wasaidizi wako kama Yuko Binti anahitaji mume, niunganishie tafadhali. Nina Elimu ya Masters, andiko langu (thesis) ilikua kuhusu FINANCING SPECIAL EDUCATION IN PRIMARY SCHOOLS, A CASE STUDY OF........Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......