Eid Mubaarak kwa waislaam wote duniani

Eid Mubaarak kwa waislaam wote duniani

snowden E,
Katika Majmul Fatawa Wamaqalaati Mutanawwia, Mujallad wa 15 Swafha ya 79 Sheikh Abdulaazizi Ibn Baazi aliulizwa. Swali linasema:

Muundamo wa mwezi unatofautiana (kwa maana Ramadhani). Kuna tofauti kati ya mwezi wa Ramadhani na Arafa(Yaani Ramadhani yafaa kufuata miezi ya mbalimbali lakini Arafa tufuate mahuujjaj)?

Sheikh akajibu: Fadhwahir annahu la faraqa bayna Ramadhwana wal Adh'ha fiimaa aalam minashariaa.

Kwa maana: Ni dhahir( wazi iliyopo) hakuna tofauti iliyopo baina ya Ramdhani na Adh' ha.( Yaani Ramadhani inafuata mwandamo wa mwezi na Al Adh' ha inafuata mwandamo wa mwezi) kwa kile ninachokijua mimi katika SHARIA.

Majmul Fatawa: Mujallad wa 20, Sheikh Muhammad Bin Swaleh Al Uthaimiin aliulizwa, swali linasema:

Ikitofautiana siku ya Arafa kwa kutofautiana sehemu mbalimbali katika miandamo ya mwezi. Je, tufunge kwa kufuata mji ambao tupo ndani yake? Ama tufuate mwandamo wa Makkah?

Sheikh Al Uthaimiin akajibu:

Hili linajengwa kwa ikhtilafu ya Ahlul ilm( walipozungumzia Je, mwezi ni mmoja popote utakapoonekana ufuatwe ama una tofautiana kwa kutofautiana miandamo yake). Sheikh akatoa mfano katika jawabu lake akasema:

Ikiwa mwezi umeonekana katika mji wa Makkah na ikiwa ni siku ya 9 unavyoonekana mwezi katika mji mwengine (kabla ya Makkah, kwa maana mji mwengine umeutangulia Makkah kwa siku na huo mji ni siku ya 9) kwa siku. Na ikawa siku ya Arafa kwao Makkah na ni siku ya 10 kwa mji huo uliyoutangula Makkah. Sheikh anasema "Fa' annahu la yajuuzu lahum an'ya suumu hadhal yaum, Liannahu yaumul iid"

Sheikh anasema haitojuzu wao kufunga ikiwa Makkah ni siku ya 9 na kwa mji mwengine ni siku ya 10. Kwa sababu hao wa siku ya 10 kwao ni siku ya EID. Na sheikh akasema vilevile:

Wakadhalika lau itakadiriwa kule mji mwengine wameuona mwezi kabla ya Makkah( Maana Makkah wametangulia kuuona) na Ikiwa Makkah ni siku ya 9 na mji mwengine ni siku ya 8. Sheikh akasema:

" Fa' anna ya suumuna yawma ttisii in'dahum" kwa maana hao wa mji mwengine watafunga siku ya kwao ya 9 itapoingia ambayo kwa Makkah itakuwa ni siku ya 10. Sheikh akasema: Hadhal huwal Qauli rrajii, kwa maana hii ndiyo kauli yenye nguvu.

Vile Sheikh Al Uthaimiin akairudia hii kauli katika Mujallad wa 19, Swafuha ya 41.

Na mwandamo wa mwezi wa Dhul hijja ni kama wa Ramadani kama Sheikh Ibn Baaz alivyosema kwamba watu wafuate miandamo ya maeneo yao. Na si yeye bali hata kwa madhehebu ya:

Imam Abuu Hanifah, tizama Maimamu wakubwa wa hayo madhehebu, mfano: Sheikh Zaada katika Majmul Anhar, Al Imam Kassaani katika Baadaril Uswani, Imam Zay Lai katika Tabiinul Haqaiq.

Madhehebu ya Imam Malik nao wana wa Zuoni wengi kauli ni ufuate mwezi wa kwako. Mfano Maimam Kama: Qurtubii, Ibn Barr, Ibn Rashid n.k

Madhehebu ya Imam Hambali, Imam Hambali anasema mwezi ni mmoja. Sheikh Al Islam Ibn Taymia anasema katika majmul Fatawa kuwa Kauli ya Imam Hambal inamaanisha kwa miji ya karibu si miji ya mabli.

Kwa Imam Shafii karibu wote. Haya niambie upotofu wangu upo wapi?
Jambo la kukhitilafiana kwa mwezi ni jambo lipo lakini Arafa haziko mbili. Na vile vle Wamesema wanawazuoni kuwa Arafa itahesabiwa pale Hijja itakapofanyika i.e saudia hata ikiwa ni mwezi nane au 11.
 
Badala kujibu swali unaelezea simu.
Nimeshamjibu aliyeniuliza.

Hakuna muingiliano baina ya funga ya siku ya 9 ya Arafa ya mwezi dhul hijjah na kisimamo cha Arafa cha kwenye Hijjah. Hizi ni ibada zinazojitegemea zenyewe. Ndiyo maana kwenye Fiqhi huwezi kuona funga ya arafa ipo kwenye mlango wa Hijjah! Bali ipo kwenye mlango wa swaumu.

Ukitaka fatwa za maimamu/ Mufti wa Makkah au za Wana wa Zuoni wa Saudiya nitakupatia inshaallah. Na siku hizi ukienda Hijjah kuna vibanda vya fatawa vipo vimewekwa. Ulizeni muone majawabu yatakayopatikana ni yapi? Hakuna jawabu utakalopatiwa tofauti na niliyoyatoa, na ndivyo ilivyo.
 
Jambo la kukhitilafiana kwa mwezi ni jambo lipo lakini Arafa haziko mbili. Na vile vle Wamesema wanawazuoni kuwa Arafa itahesabiwa pale Hijja itakapofanyika i.e saudia hata ikiwa ni mwezi nane au 11.
Nipe Dalili usinipatie maneno.
 
Jambo la kukhitilafiana kwa mwezi ni jambo lipo lakini Arafa haziko mbili. Na vile vle Wamesema wanawazuoni kuwa Arafa itahesabiwa pale Hijja itakapofanyika i.e saudia hata ikiwa ni mwezi nane au 11.
Kwanza Arafa haziko 2, Arafa zipo 3 akhy. Katika hadithi ya Imam Ahmadi iliyopo katika musnadi yake katika sanadi sahihi Mtume anasema:

" Innallaha akhadhal ahada ala dhwaharihii adama binary yauma Arafa" Mungu anasema ameshaweka ahadi hii siku ya Arafa. Siku ya Arafa ambayo Mungu ameizungumzia hata kabla Mtume hajazaliwa.

Mtume alipofika Madina aliwaona Muhajirina wanasheherekea siku zao za sherehe. Mtume akawaambia Mungu amewapa badala ya hizo siku 2 mnazo sheherekea, ni Yaumul fitri na Yaumul Adh'ha.

Na Eidi ya kwanza kuila Mtume ni Eidil Fitri ambayo ilifaradhishwa mwaka wa 2 baada ya Mtume kufanya Hijra ya Makkah kwenda Madinah. Na Sheria ya Kiislamu imefardhisha Eid il Fitri na mwandamo wa mwezi na Eidil Adh'ha na muandamo wa mwezi(kuna ahadithi nikikaa vizuri nitakuandikia Mtume anafunganisha Eid il Adh'ha na mwezi muandamo). Na eid il adh'ha Mtume amesheherekea kama kawaida.

Ibada ya hija imekuja baada ya miaka 9 na hii ni Qaul ya Ibn Qayyim na ndi yenye nguvu kwa sababu wana wazuoni wameikhtalifiana wengine wamesema mwaka wa 5, wengine wa 6. Ukiiangalia utaona kuna gape baina ya miaka 6-7. Swali kwako, kama Mtume alikuwa anasheherekea eid il adh'ha tuambie alikuwa anasherekea vipi? Kwa sababu Eid ya Adh'ha haisherekewi mpaka ufunge siku ya Arafa, wakati wewe unasema swaumu ya Yaumu Arafa inaenda pamoja na Hijjah.

Kuhusu Arafa, Arafa hazipo 2 bali zipo 3. Ya kwanza ni hadithi niliyokutolea juu hapo. Kwa hiyo, kuna Arafa siku, Kuna Arafa Waadi Arafa, na kuna Arafa kitendo ile wukufu kwenda kwenye viwanja vya Arafa. Na katika hivi hujjaji akichanganya hana hija. Kwani Mtume anasema al hijja Arafa.
 
... kuandama kwa mwezi? Mbona kipindi hiki ni FULL MOON?
Kinachojadiliwa hapa ni sikukuu ya Eid ambayo husherehekewa siku 10 baada ya mwezi kuandama! Hivyo kesho waislam watasherekea sikukuu kwa kuchinja wanyama na siyo ndege!
 
Kauli ya kusema Jumuiya ya wana wazuoni wamejibu hivi kwa kuhalisha kauli yake si ya kweli. Mwambie atutajie hivyo vitabu asitupatie maneno matupu.

Katika Majmul Fatawa Wamaqalaati Mutanawwia, Mujallad wa 15 Swafha ya 79 Sheikh Abdulaazizi Ibn Baazi aliulizwa. Swali linasema:

Muundamo wa mwezi unatofautiana (kwa maana Ramadhani). Kuna tofauti kati ya mwezi wa Ramadhani na Arafa(Yaani Ramadhani yafaa kufuata miezi ya mbalimbali lakini Arafa tufuate mahuujjaj)?

Sheikh akajibu: Fadhwahir annahu la faraqa bayna Ramadhwana wal Adh'ha fiimaa aalam minashariaa.

Kwa maana: Ni dhahir( wazi iliyopo) hakuna tofauti iliyopo baina ya Ramdhani na Adh' ha.( Yaani Ramadhani inafuata mwandamo wa mwezi na Al Adh' ha inafuata mwandamo wa mwezi) kwa kile ninachokijua mimi katika SHARIA.

Majmul Fatawa: Mujallad wa 20, Sheikh Muhammad Bin Swaleh Al Uthaimiin aliulizwa, swali linasema:

Ikitofautiana siku ya Arafa kwa kutofautiana sehemu mbalimbali katika miandamo ya mwezi. Je, tufunge kwa kufuata mji ambao tupo ndani yake? Ama tufuate mwandamo wa Makkah?

Sheikh Al Uthaimiin akajibu:

Hili linajengwa kwa ikhtilafu ya Ahlul ilm( walipozungumzia Je, mwezi ni mmoja popote utakapoonekana ufuatwe ama una tofautiana kwa kutofautiana miandamo yake). Sheikh akatoa mfano katika jawabu lake akasema:

Ikiwa mwezi umeonekana katika mji wa Makkah na ikiwa ni siku ya 9 unavyoonekana mwezi katika mji mwengine (kabla ya Makkah, kwa maana mji mwengine umeutangulia Makkah kwa siku na huo mji ni siku ya 9) kwa siku. Na ikawa siku ya Arafa kwao Makkah na ni siku ya 10 kwa mji huo uliyoutangula Makkah. Sheikh anasema "Fa' annahu la yajuuzu lahum an'ya suumu hadhal yaum, Liannahu yaumul iid"

Sheikh anasema haitojuzu wao kufunga ikiwa Makkah ni siku ya 9 na kwa mji mwengine ni siku ya 10. Kwa sababu hao wa siku ya 10 kwao ni siku ya EID. Na sheikh akasema vilevile:

Wakadhalika lau itakadiriwa kule mji mwengine wameuona mwezi kabla ya Makkah( Maana Makkah wametangulia kuuona) na Ikiwa Makkah ni siku ya 9 na mji mwengine ni siku ya 8. Sheikh akasema:

" Fa' anna ya suumuna yawma ttisii in'dahum" kwa maana hao wa mji mwengine watafunga siku ya kwao ya 9 itapoingia ambayo kwa Makkah itakuwa ni siku ya 10. Sheikh akasema: Hadhal huwal Qauli rrajii, kwa maana hii ndiyo kauli yenye nguvu.

Vile Sheikh Al Uthaimiin akairudia hii kauli katika Mujallad wa 19, Swafuha ya 41.

Muungalie Sheikh Ibn Jabaarin, Muangalie Sheikh Swalehe Ibn Fauzan katika fatawa Allajina Ddaaima, fatwa nambari 21,825.

Na hao Masheikh ni masheikh Wakubwa katika baladul haramain. Wote hao kwenye fatwa zao funga ya Arafa hazijafungamanishwa na kisimamo cha Arafa. Ndiyo maana Sheikh Al Uthaimini anasema hii ndiyo qauli yenye nguvu. Hakuna mwana wa zuoni aliyefungamanisha kisimamo cha Arafa na funga ya Arafa.
 
snowden E,
Katika Majmul Fatawa Wamaqalaati Mutanawwia, Mujallad wa 15 Swafha ya 79 Sheikh Abdulaazizi Ibn Baazi aliulizwa. Swali linasema:

Muundamo wa mwezi unatofautiana (kwa maana Ramadhani). Kuna tofauti kati ya mwezi wa Ramadhani na Arafa(Yaani Ramadhani yafaa kufuata miezi ya mbalimbali lakini Arafa tufuate mahuujjaj)?

Sheikh akajibu: Fadhwahir annahu la faraqa bayna Ramadhwana wal Adh'ha fiimaa aalam minashariaa.

Kwa maana: Ni dhahir( wazi iliyopo) hakuna tofauti iliyopo baina ya Ramdhani na Adh' ha.( Yaani Ramadhani inafuata mwandamo wa mwezi na Al Adh' ha inafuata mwandamo wa mwezi) kwa kile ninachokijua mimi katika SHARIA.

Majmul Fatawa: Mujallad wa 20, Sheikh Muhammad Bin Swaleh Al Uthaimiin aliulizwa, swali linasema:

Ikitofautiana siku ya Arafa kwa kutofautiana sehemu mbalimbali katika miandamo ya mwezi. Je, tufunge kwa kufuata mji ambao tupo ndani yake? Ama tufuate mwandamo wa Makkah?

Sheikh Al Uthaimiin akajibu:

Hili linajengwa kwa ikhtilafu ya Ahlul ilm( walipozungumzia Je, mwezi ni mmoja popote utakapoonekana ufuatwe ama una tofautiana kwa kutofautiana miandamo yake). Sheikh akatoa mfano katika jawabu lake akasema:

Ikiwa mwezi umeonekana katika mji wa Makkah na ikiwa ni siku ya 9 unavyoonekana mwezi katika mji mwengine (kabla ya Makkah, kwa maana mji mwengine umeutangulia Makkah kwa siku na huo mji ni siku ya 9) kwa siku. Na ikawa siku ya Arafa kwao Makkah na ni siku ya 10 kwa mji huo uliyoutangula Makkah. Sheikh anasema "Fa' annahu la yajuuzu lahum an'ya suumu hadhal yaum, Liannahu yaumul iid"

Sheikh anasema haitojuzu wao kufunga ikiwa Makkah ni siku ya 9 na kwa mji mwengine ni siku ya 10. Kwa sababu hao wa siku ya 10 kwao ni siku ya EID. Na sheikh akasema vilevile:

Wakadhalika lau itakadiriwa kule mji mwengine wameuona mwezi kabla ya Makkah( Maana Makkah wametangulia kuuona) na Ikiwa Makkah ni siku ya 9 na mji mwengine ni siku ya 8. Sheikh akasema:

" Fa' anna ya suumuna yawma ttisii in'dahum" kwa maana hao wa mji mwengine watafunga siku ya kwao ya 9 itapoingia ambayo kwa Makkah itakuwa ni siku ya 10. Sheikh akasema: Hadhal huwal Qauli rrajii, kwa maana hii ndiyo kauli yenye nguvu.

Vile Sheikh Al Uthaimiin akairudia hii kauli katika Mujallad wa 19, Swafuha ya 41.

Na mwandamo wa mwezi wa Dhul hijja ni kama wa Ramadani kama Sheikh Ibn Baaz alivyosema kwamba watu wafuate miandamo ya maeneo yao. Na si yeye bali hata kwa madhehebu ya:

Imam Abuu Hanifah, tizama Maimamu wakubwa wa hayo madhehebu, mfano: Sheikh Zaada katika Majmul Anhar, Al Imam Kassaani katika Baadaril Uswani, Imam Zay Lai katika Tabiinul Haqaiq.

Madhehebu ya Imam Malik nao wana wa Zuoni wengi kauli ni ufuate mwezi wa kwako. Mfano Maimam Kama: Qurtubii, Ibn Barr, Ibn Rashid n.k

Madhehebu ya Imam Hambali, Imam Hambali anasema mwezi ni mmoja. Sheikh Al Islam Ibn Taymia anasema katika majmul Fatawa kuwa Kauli ya Imam Hambal inamaanisha kwa miji ya karibu si miji ya mabli.

Kwa Imam Shafii karibu wote. Haya niambie upotofu wangu upo wapi?
HUU UFAFANUZI TOSHA
 
Back
Top Bottom