Egypt's Mohamed Morsi has death sentence overturned

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
_92447373_83e01306-5356-47e9-9756-c69244568c33.jpg

Mahakama nchini Misri imefuata hukumu ya kifo aliyohukumiwa rais aliyepinduliwa mwaka 2013, Mohammed Morsi. Mahakama imeagiza kesi hiyo isikilizwe upya.

Morsi alikumiwa kifo baada ya kukutwa na hatia ya kuhusika kuwatorosha wafungwa wengi wakati wa mapinduzi ya mwaka 2011.

Alichaguliwa kuwa rais mwaka 2012 lakini akaondolewa na jeshi mwaka mmoja baadaye, kufuatia maandamano makubwa ya kupinga utawala wake.

Morsi ameshahukimiwa kifungo cha maisha jela kwa mashtaka yanayohusu ugaidi na bado anakabiliwa na mashtaka kwa makosa mengine.
Lakini mahakama imetengua hukumu ya kifo na kuamuru kesi hiyo kusikilizwa upya

========================

Egypt's Court of Cassation has overturned a death sentence against the country's deposed president Mohamed Morsi and ordered a retrial, according to reports.

The country's first democratically elected president, Morsi was overthrown by a military coup in July 2013 after having served just one year of a four-year term.

The organisation to which he belonged, the Muslim Brotherhood, has since been outlawed. A government crackdown on the movement, as well as other groups, has resulted in tens of thousands of arrests and mass trials.

Morsi was tried in an Egyptian court on several charges, including one of escaping prison during the 2011 uprising against then-president Hosni Mubarak.

He was also accused of sharing state secrets with foreign powers, including Qatar. His defence argued that he was merely engaging all foreign entities within the limits that any head of state would.

Hundreds of death sentences

Morsi was given several sentences, including life, a 20-year prison term and the death penalty. He appealed against those sentences, but has already had the 20-year term confirmed by an Appellate Court.

Human Rights Watch and Amnesty International have argued that the trials carried out by the government of Abdel Fattah el-Sisi, who led the coup against Morsi, have been political in nature and violated the rights of thousands of Egyptians.

Mass trials have sentenced hundreds of Egyptians to death. Rights groups have also called attention to the prison abuse in Egypt's detention system.

Morsi himself has in the past abstained from eating prison food, out of fear for his life.

Source: Aljazeera
 
Huyu jamaa ni profesa. Namfananisha sana na yule anayelala kwenye ofisi ya kupora.
 
View attachment 434668

Africa ni Africa tu. Kosa kubwa la Mungu ni kuumba Africa!
 
Morsi alidanganywa na obama,sasa kumbe majenerali hawapendi ujinga ujinga,yamemkuta ya kumkuta sasa,atakaa sana lokapu huyu mzee
 
Field Marshal al-Sisi is right. Jamaa ni terrorist-supported.
Wewe morsi alichaguliwa na watu.alaf alsis akaja kumpindua na aliwauwa kweli wamisri.huyu jamaa mpaka wazungu wana mkwepa kauwa sanaaa
 
Mkuu unaweza nieleza yalitokea nini kati yake na obama?
kumbuka baada ya obama kushinda urais 2008,alitembelea misri na kuwahutuibia waislamu na kuwaaminisha kuwa nchi za magharibi haziko vitani na waislamu blah blah..
Story ndo ilianzia hapo,obama alikuwa na mpango ukiongozwa na CIA,kuwapiga chini badhi ya watawala wa nchi za kiarabu kama mubaraka,gadaf,asad,abdul salehe etc,
hapo ilikuwa kabla ya ISIS,walipanga kuwatumia MUSLIM BROTHERHOOD,

hawa ndo walianzisha ile sokomoko ya maandamano ya kupindua tawalaza misri,tunisia,yemen,syria etc.
Morsi alikuwa mmoja wa viongozi wa muslim brotherhood aliyechomolewa toka jela ili kuongoza arab uprising na kumpindua mubaraka.

Obama na mwenzake hillary clinton ndo walikuwa vinara wa hizo harakati,

in summary
 
Nashukuru sana mkuu kwa maneno yako fasaha. Ila ni muda sisi waafrika kujitawala kiakili sio kila siku kufata mkumbo tuu bila hata ya kujua historia yetu na tulipotoka.

ILA OBAMA ROHO YAKE SIJUI IKOJE KWA KWELI YANI WAISLAMU WENZAKE ANAWAFANYIA HIVI?? NA YEYE BABA YAKE KATOKEA HAPO KENYA? KWELI NDUGU KUFAANA BWANA.
 
kumbuka baada ya obama kushinda urais 2008,alitembelea misri na kuwahutuibia waislamu na kuwaaminisha kuwa nchi za magharibi haziko vitani na waislamu blah blah..
Story ndo ilianzia hapo,obama alikuwa na mpango ukiongozwa na CIA,kuwapiga chini badhi ya watawala wa nchi za kiarabu kama mubaraka,gadaf,asad,abdul salehe etc,
hapo ilikuwa kabla ya ISIS,walipanga kuwatumia MUSLIM BROTHERHOOD,

hawa ndo walianzisha ile sokomoko ya maandamano ya kupindua tawalaza misri,tunisia,yemen,syria etc.
Morsi alikuwa mmoja wa viongozi wa muslim brotherhood aliyechomolewa toka jela ili kuongoza arab uprising na kumpindua mubaraka.

Obama na mwenzake hillary clinton ndo walikuwa vinara wa hizo harakati,

in summary
Lakini mkuu mbona baadhi ya watu humu wanasema sababu ya orsi kuondolewa madarakani ni kutokana na kutokuwa na mda na wamarekani hivyo lengo lao halikutimia ikabidi wafanye tena umafia na kweli akapinduliwa? hizi habari si za kweli?

Unaweza kunieleza uhusiano wa mubarak na marekani ulivyokua?
 
Morsi alipinduliwa na wale waliomiweka madarakani.... watu wale ni wazungu pekee ndo walifanya.. ndo maana nasema. Demokrasia ni mali ya mzungu inatumika kama fimbo ya ukoloni mamboleo
 
kumbuka baada ya obama kushinda urais 2008,alitembelea misri na kuwahutuibia waislamu na kuwaaminisha kuwa nchi za magharibi haziko vitani na waislamu blah blah..
Story ndo ilianzia hapo,obama alikuwa na mpango ukiongozwa na CIA,kuwapiga chini badhi ya watawala wa nchi za kiarabu kama mubaraka,gadaf,asad,abdul salehe etc,
hapo ilikuwa kabla ya ISIS,walipanga kuwatumia MUSLIM BROTHERHOOD,

hawa ndo walianzisha ile sokomoko ya maandamano ya kupindua tawalaza misri,tunisia,yemen,syria etc.
Morsi alikuwa mmoja wa viongozi wa muslim brotherhood aliyechomolewa toka jela ili kuongoza arab uprising na kumpindua mubaraka.

Obama na mwenzake hillary clinton ndo walikuwa vinara wa hizo harakati,

in summary
Ni kweli kabisa.. baada ya mission kuisha wakaona hana maana wakatumia tena propaganda za kuwatoa muslimu brotherhood...
Lengo lilikuwa kuwangusha hao viongozi na siyo vingine
 
Lakini mkuu mbona baadhi ya watu humu wanasema sababu ya orsi kuondolewa madarakani ni kutokana na kutokuwa na mda na wamarekani hivyo lengo lao halikutimia ikabidi wafanye tena umafia na kweli akapinduliwa? hizi habari si za kweli?

Unaweza kunieleza uhusiano wa mubarak na marekani ulivyokua?
wamarekani walikwa washamchoka mubarak,kama unakumbuka hata wakati uprising ikianza,mubarak aliomba msaada marekani ili wamsaidia kuzima maasi,obama alimwambia aachie ngazi kwa macho makavu,

pia obama hakutaka morsi apinduliwe,tena kama unakumbuka marekani ililaani wanajeshi walipompindua morsi,na ilitokea ghafla kiasi marekani hawakujipanga watamwokoa vipi,
kama hujasahau baada ya mapinduzi,marekani walisitisha msaada wa pesa na silaha kwa misri,
wamekuja kurudisha baada ya al sis kuanza kuelekea uelekea wa Russia,ndo marekani wakasituka na kurejesha misaada,

japo ni kama too late maana al sis na putin ni chana na pete sikuhizi.

Sijui mubarak aliwakosea nini marekani,lakini nadhani operation yote ilihusu regime change kuwaondoa viongozi wa kiarabu wenye nguvu kwa kutumia muslim brotherhood,ambapo walijua baadae nchi zitavurugika(distabilise),ili kuzifanya weak,for israel advantage
 
Mubarak Toppled by CIA Because He Opposed US Plans for War with Iran; US Eyes Seizure of Suez Canal; Was this the Threat that Forced Mubarak to Quit?
Webster G. Tarpley, Ph.D.
TARPLEY.net
February 18, 2011
Washington DC, Feb. 18, 2011 — There never was an “Egyptian revolution,” but rather a behind-the-scenes military putsch by a junta of CIA puppet generals who evidently could not succeed in their goal of ousting Hosni Mubarak without the help of a heavy-duty ultimatum from Washington in the night between Thursday, February 10 and Friday, February 11, 2011. There is growing evidence that the threat in question involved the seizure or blocking of the Suez Canal, the Egyptian waterway which carries over 8% of all seaborne world trade, which the imperialists tried to grab back in 1956, and from which they would today like to exclude China, Iran, and Russia. As for Mubarak, there are strong indications that he was toppled by Washington and London because he opposed the current US-UK plan to organize a block of Sunni Arab states such as Egypt, Saudi Arabia, Jordan, and the Gulf states — under a US nuclear umbrella and shoulder to shoulder with Israel — for purposes of confrontation and war with Iran, Syria, Hezbollah, and their Shiite and radical allies.

Mubarak Toppled by CIA Because He Opposed US Plans for War with Iran; US Eyes Seizure of Suez Canal; Was this the Threat that Forced Mubarak to Quit? « TARPLEY.net
 
Back
Top Bottom