Egypt's Mohamed Morsi has death sentence overturned

Egypt's Mohamed Morsi has death sentence overturned

Nashukuru sana mkuu kwa maneno yako fasaha. Ila ni muda sisi waafrika kujitawala kiakili sio kila siku kufata mkumbo tuu bila hata ya kujua historia yetu na tulipotoka.

ILA OBAMA ROHO YAKE SIJUI IKOJE KWA KWELI YANI WAISLAMU WENZAKE ANAWAFANYIA HIVI?? NA YEYE BABA YAKE KATOKEA HAPO KENYA? KWELI NDUGU KUFAANA BWANA.
Obama sio Muislamu yule, mshenzi sana
 
Nashukuru sana mkuu kwa maneno yako fasaha. Ila ni muda sisi waafrika kujitawala kiakili sio kila siku kufata mkumbo tuu bila hata ya kujua historia yetu na tulipotoka.

ILA OBAMA ROHO YAKE SIJUI IKOJE KWA KWELI YANI WAISLAMU WENZAKE ANAWAFANYIA HIVI?? NA YEYE BABA YAKE KATOKEA HAPO KENYA? KWELI NDUGU KUFAANA BWANA.
Sio muislamu huyo obama
Lakini mkuu mbona baadhi ya watu humu wanasema sababu ya orsi kuondolewa madarakani ni kutokana na kutokuwa na mda na wamarekani hivyo lengo lao halikutimia ikabidi wafanye tena umafia na kweli akapinduliwa? hizi habari si za kweli?

Unaweza kunieleza uhusiano wa mubarak na marekani ulivyokua?
 
Mubaraka akihojiwa na gazeti akiwa jela alisimulia namna obama akimshinikiza aachie ngazi.
"Obama called me two or three times. Frankly, I did not want to answer his calls," Mubarak said. "Finally I answered. He asked me, 'What is your situation now?' And before I answered he quickly said, 'I think you need to give power to a group of politicians, including Mohamed Baradei.’"
Mubarak had no choice and claims he replied, "'Listen Obama, I understand the Egyptianpeople more than you, as you understand the American people more than me. I do not take orders from you, and not from anyone, as far as the people of Egypt are concerned. I get my instructions from the people in Egypt alone. If people do not want me, then I will leave immediately. My job is to warn the Egyptian people of the situation in which they find themselves.’ Thus ended the conversation.”

from ynetnews
 
Ni kweli kabisa.. baada ya mission kuisha wakaona hana maana wakatumia tena propaganda za kuwatoa muslimu brotherhood...
Lengo lilikuwa kuwangusha hao viongozi na siyo vingine
Maskini alifanywa ganda la muwa na wazungu! Bora wamemuonea huruma.
 
Mubarak Toppled by CIA Because He Opposed US Plans for War with Iran; US Eyes Seizure of Suez Canal; Was this the Threat that Forced Mubarak to Quit?
Webster G. Tarpley, Ph.D.
TARPLEY.net
February 18, 2011
Washington DC, Feb. 18, 2011 — There never was an “Egyptian revolution,” but rather a behind-the-scenes military putsch by a junta of CIA puppet generals who evidently could not succeed in their goal of ousting Hosni Mubarak without the help of a heavy-duty ultimatum from Washington in the night between Thursday, February 10 and Friday, February 11, 2011. There is growing evidence that the threat in question involved the seizure or blocking of the Suez Canal, the Egyptian waterway which carries over 8% of all seaborne world trade, which the imperialists tried to grab back in 1956, and from which they would today like to exclude China, Iran, and Russia. As for Mubarak, there are strong indications that he was toppled by Washington and London because he opposed the current US-UK plan to organize a block of Sunni Arab states such as Egypt, Saudi Arabia, Jordan, and the Gulf states — under a US nuclear umbrella and shoulder to shoulder with Israel — for purposes of confrontation and war with Iran, Syria, Hezbollah, and their Shiite and radical allies.

Mubarak Toppled by CIA Because He Opposed US Plans for War with Iran; US Eyes Seizure of Suez Canal; Was this the Threat that Forced Mubarak to Quit? « TARPLEY.net
Duuu!! Kmbe ndyo mana [emoji45] [emoji45]

~Cmb
 
wamarekani walikwa washamchoka mubarak,kama unakumbuka hata wakati uprising ikianza,mubarak aliomba msaada marekani ili wamsaidia kuzima maasi,obama alimwambia aachie ngazi kwa macho makavu,

pia obama hakutaka morsi apinduliwe,tena kama unakumbuka marekani ililaani wanajeshi walipompindua morsi,na ilitokea ghafla kiasi marekani hawakujipanga watamwokoa vipi,
kama hujasahau baada ya mapinduzi,marekani walisitisha msaada wa pesa na silaha kwa misri,
wamekuja kurudisha baada ya al sis kuanza kuelekea uelekea wa Russia,ndo marekani wakasituka na kurejesha misaada,

japo ni kama too late maana al sis na putin ni chana na pete sikuhizi.

Sijui mubarak aliwakosea nini marekani,lakini nadhani operation yote ilihusu regime change kuwaondoa viongozi wa kiarabu wenye nguvu kwa kutumia muslim brotherhood,ambapo walijua baadae nchi zitavurugika(distabilise),ili kuzifanya weak,for israel advantage
sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom