de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,236
- 20,394
- Thread starter
- #21
ShukranUmeandika ukweli.
Ni ngumu sana kwa mwanaume aliezoea kutoka na rafiki zake kwenda kwenye starehe,kuangalia Mpira,kucheza pool table eti atulie nyumbani š hapo lazima mgombane.
Na ni ngumu pia kwa Binti aliyezoea kutoka na Rafiki zake weekend, kufanya Shopping, kujipenda, kutembelea marafiki,kupenda pesa kumbadilisha na kutaka atulie nyumbani hapo lazima mgombane.
Tujitahidi kuchukuliana na kubebana na kupeana uhuru.
Mkishindwana mnafikia makubaliano.
Kila mtu ana uhuru wa kuwa a navyo taka ilimradi usijaribu uhuru wa mwingine. Na kuna watu watakuja ku justify uovu au matendo yaletayo picha mbaya hapo sasa inakuwa ujinga