Ego play katika mahusiano

Ego play katika mahusiano

Unapo kuwa na mapendeleo fulani katika maisha ni kheri ukawa mkweli na kumfanya mwingine aweze kujua.. Hii humfanya mtu kujua namna ya ku adjust ajue wapi ana fit. Wengi hupenda mwonekano, vitu na status, ila lijapo swala la priorities na beliefs au worldviews tunasahau sana.. Au sio kwamba tunasahau, bali tunadhani tuta wa badilisha hao watu tuwapendao
📝 noted
 
Mada ngumu sana hii tuendee taratibu,.

Nilipata bahati ya kua katika group chat ya wanawake(all white),kuna siku walikua wanajadili mada ambayo iliandikwa katika jarida la Cosmopolitan maada ilikua about Mwanaume wa ku marry,wanawake wote wakasema DONT MARRY A CONSERVATIVE..

Niliumia sababu mimi mliberali,Napenda kumpa mtu uhuru,.,napenda Open communication,Personal growth.,equality and all.

Nikawa najisemea okay kumbe wanawake hawapendi my type, nikikutana na mwanamke kwenye talking stage nasema I'm liberal you know..

Baadae nikagundua I'm not much of that ila nipo nusu nusu,kwamba katika mahusiano kuna kua na vitu nataka na kupendelea,nawewe ukiwa na yako sitalazimisha unisikilize lakini unielewe mimi mtu wa vipi na wewe nitakuelewa pia,sina tatizo KABISA kupishana mtazamo,itikadi,imani or ideology..

So nikajifunza kitu kinaitwa unconditional acceptance kua unaweza kumpenda mtu tu(as you said mtu ni zaidi ya BOX)bila kufikiria yeye CCM,Chadema,Feminist au mkristo na mkaelewana bila mmoja kutaka kumbadili mwezie..

Manipulation..sasa ugumu unakuja katika mahusiano hayo mmoja akiwa na EGO&Manipulation,kuna mtu nilikua naongea nae mara nyingi she is a good manipulator,Kila tukipishana mtazamo au hatujalewana ananiambia "UNAKUA KAMA HUJASOMA" kaniambia hivyo mara 3,.

Manipulators wanapenda control so katika mazungumzo wanapenda kutumia njia hiyo(intellectual belittling)to silence you,to make you dependent on their judgment,au kuku discourage from challenging them..

MY TOXIC TRAIT..tukiwa friends or wapenzi and manipulator you like power au kutaka kunifanya nisijisikie inferior to you,nakupa sababu zote za kunidharau uzidi kujisikia vizuri na Ego yako..

Ukiwa una value your own ego over an honest human connection Uhusiano haudumu..

Hili tuelewane(Mimi binafsi)you don't need to be above me,and I don't need to be above you,.naamini kua mtu mwenye Confidence doesn't need to fight for dominance..

Sio vizuri ku play Ego game,to feed someone's Ego ni tabia mbaya,to starve it tabia mbaya pia,just walk away...

Uwazi,compatibility of priorities na being real kama ulivyosema ndio mambo ambayo yanaweza ku save 95% ya Mahusiano
 
Back
Top Bottom