Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Na ukienda PvP sasa unakutana na wengi wanatumia QC.Tangu update hili game limekua geni tumeanza kujifunza upya.
Legend AI kabla ya update nilikua nawafunga mpaka goli 6 ila sasa hivi wingers wao hawakabiki😃
Nimekwama kwenye rating 1600's vs AI sipandi sishuki 😭
Oya pvp pamoto sasa hivi nimepumzika kwanza😃Na ukienda PvP sasa unakutana na wengi wanatumia QC.
Mkuu nije mazoezi?Oya pvp pamoto sasa hivi nimepumzika kwanza😃
Hapo ulipofika sasa ndo kazi inapoanzia 😂.😅😅nimeingia dvn 3
jamaa atakua kaumia sana uko aliko zime ongezwa 5 akaweka full dk ya 94 nika mchapa counter
😅😅muhimu kukaza vidoleHapo ulipofika sasa ndo kazi inapoanzia 😂.
Nimebakiza mechi 2 ili kupanda dvn 2 ila sasa hizo mechi kupata ushindi ndo mtihani+script.😅😅muhimu kukaza vidole
Mkuu nilipata dharura nimchelewa kuingia online
Nime pigwa match moja ngoja nitulize wenge kwanza😅😅mtu ana wachezaji wana kimbia kama umemeNimebakiza mechi 2 ili kupanda dvn 2 ila sasa hizo mechi kupata ushindi ndo mtihani+script.
User name yakoMkuu nilipata dharura nimchelewa kuingia online
Kama bado upo twende
MyunaniUser name yako
Poa ingia onlineMyunani
Kuna mechi 1 niliingia first eleven yangu karibia wote mpaka subs mishale imelala kulia mpaka nikajuta kwanini nimepeleka timu uwanjani 😂.Nime pigwa match moja ngoja nitulize wenge kwanza😅😅mtu ana wachezaji wana kimbia kama umeme
Mishale inabidi iweje me uwa si izingatiiKuna mechi 1 niliingia first eleven yangu karibia wote mpaka subs mishale imelala kulia mpaka nikajuta kwanini nimepeleka timu uwanjani 😂.
Kaka ukwel nimeamua kutumia smart assist ya Razorblade ameninyanyasa mno nikaona imetosha acha niwashe tuu...Selikavu 😅😅mzee nipe izo instructions na booster zake
Isielekee chini...Mishale inabidi iweje me uwa si izingatii
unacheza kama una 3170 😂😂kuna mwamba nili kutana nae ana 3174 ugusi mpira yuko speed kila unapo peleka yupo.Kaka ukwel nimeamua kutumia smart assist ya Razorblade ameninyanyasa mno nikaona imetosha acha niwashe tuu...
Me ni mbovu kwenye direction na kutoa pasi... Sasa yenyewe imekuja imenitibia hvyo kwa hiyo mambo ndo yapo hivi saiv...
Sema umetoka nilitaka game ya tatu nizime nicheze bila smart assist... Maana nimeona sijafanya fair...