Smart assist inaniketa lofted pass zile๐Kama upo twende...๐๐
Nipo na smart assist sasa
Nimejua tatizo langu siwezi kubalance uzi to wa passSmart assist inaniketa lofted pass zile๐
Kuna utataka upige shuti yenyewe ita curl hapo ndio utaelewa au unapiga through pass yenyewe inauchota juu๐Nimejua tatizo langu siwezi kubalance uzi to wa pass
Ila smart assist ananisaidia hili
Usiwe na haraka ๐.Nataka ukiwa unajifunza LBC Ujifunze kwa uchungu kwakuwa QC hautoniweza tena
Tutakomaa nayo hvyo hvyo ...Kuna utataka upige shuti yenyewe ita curl hapo ndio utaelewa au unapiga through pass yenyewe inauchota juu๐
Sawaa kakaUsiwe na haraka ๐.
Poa mkuu.Razorblade saa 5 tupashe
Mkuu naona mtandao imegona ku connect tujaribu kesho.Poa mkuu.
Poa mkuu.Mkuu naona mtandao imegona ku connect tujaribu kesho.
Kaza vidole mkuu ๐.Daah tangu update game limenikataa ni mwendo wa kubadili formation tu na vichapo vipo pale pale.
Aisee konami wananifanyia hujuma๐
Sawa sawaa kakaJana nili pata wageni leo uhakika
Umevipiga vita๐คฃ๐คฉView attachment 3323521
Alama 10 zilizobaki zinaniogopesha ๐.