Hilo game nililifuta kabisa baada ya kuona napata kichapo tu..labda nilipakue tena maana akaunti si bado iko haiTuone kikosi chako😃
Ulilink na konami Id??Hilo game nililifuta kabisa baada ya kuona napata kichapo tu..labda nilipakue tena maana akaunti si bado iko hai
Mbusi weeeAMM BAAACK
Unanitukana ngoja nkuombee ban umbwa weweMbusi weee
Sijawai pigwa banUnanitukana ngoja nkuombee ban umbwa wewe
Ndiyo nakutaftia apa umeniita mbusiSijawai pigwa ban
Naam naam Mwasham Baba Askofu Kwema kakaWakuu
🙌🙌🙌Another one🔥🔥🏆🏆🏆😊View attachment 3642161
Owaa leta kikosi mkuu nione😃😃😂 nimespin juzi ile ya jero wamenipa messi 109 na neymar 105
Kipo ila simu sinayo hapa nitakituma halafu nakutagOwaa leta kikosi mkuu nione😃😃
Nina coins 400 hapa nawaza sijui nizame au niachane nayo😃
Bado najitafutaKipo ila simu sinayo hapa nitakituma halafu nakutag
Username santosmwakomo nitumie request tuguse
Sawaa sawaa mkuuKipo ila simu sinayo hapa nitakituma halafu nakutag
Kipo ila simu sinayo hapa nitakituma halafu nakutag
Ushajipata wewe😃😃3169
Bado najitafuta
🤣🤣Another one🔥🔥🏆🏆🏆😊View attachment 3642161