Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,636
- 7,138
Huyu jamaa anatuchora ngoja tulete league πKumbe nawe umeona ππ
Mimi hamna kitu mkuuHuyu jamaa anatuchora ngoja tulete league π
Mvizie akiwa division utaona mizimu
Kwema asee mkuuKumekucha vyema wakuu
Uzuri me nakujua huniingizi kwenye mfumo wako wa kujifanga NoobMimi hamna kitu mkuu
Najua kiwango changu pira papatuππUzuri me nakujua huniingizi kwenye mfumo wako wa kujifanga Noob
Kuna match ambayo Mimi possession nimevuka 40??Najua kiwango changu pira papatuππ
Haha π€£π€£ possession so chochote mkuuKuna match ambayo Mimi possession nimevuka 40??
Sasa inaonesha huna papatu papatuHaha π€£π€£ possession so chochote mkuu
Nafungwa ila naamua tu kutuliaππSasa inaonesha huna papatu papatu
Upo twendeNafungwa ila naamua tu kutuliaππ
Ndo nimefika mkuuUpo twende
TunapishanaSelikavu upo live
Naona mkuuTunapishana
Safi mkuu kwema???Habarini ya asubuhi wakuu"
Siku na iwe njemaa kwenu"
Na usiikumwema woteeSafi mkuu kwema???
Uwe na siku njema pia
π π π π πHuyu jamaa anatuchora ngoja tulete league π