Naam mkuuKaka
Kaka upo fizikiLeteni timu
Nenda division kwanza wewe huku hatuchelewi kukuposti 😂😂💔Leteni timu
😅😅😅 mnipe skillls maana bado napasha kuzoea aviator tenaNenda division kwanza wewe huku hatuchelewi kukuposti 😂😂💔
😃😃Aah me siwezi weka mzigo kwa wengine wote mkabe😃😃Mi counter target hata kama hawakabi, nnapoikubali ni kwenye kona nikiokoa kona naweza kufanya counter ya haraka tu..
Ila nikieka mmoja tu apo mbele napata nafasi ya kukimbizana na beki aliebaki mara anakabwa 😂
Tutaanzisha league kwa ajili yako wote wakunyooshe humu😃😃I'm back
😃😃😃 Account yako mwezi ujao nitaichukua🤣🤣🤣Holy shit 😀😀😀😀 nikasema ngoja nitest imo😀View attachment 3625637
Sema huyo mwamba mtu sana🤣🤣me kwangu ndo Best Destroyer kwa sababu ya speed nikipata account ina Desaal, Varane Maldini na Thuram alafu mbele yao kuna Viera kupita labda mtume maombi konamiDesal wa bei ya jioni🙂
Uanze kutumia match up sasa...Sijui ku defend huyo destroyer nk uchochoro 😀
Uwe unanipa invite mkuu nikiona naingia😃😃huku kuja siku hizi mara moja moja sana kuna 🆔 inatumia jina la Ex wangu kila nikiiona namkumbuka 🤣🤣🤣Selikavu
Kwema mkuu" upo live nije tupashe shivoo🌞
Tutapita tuSema huyo mwamba mtu sana🤣🤣me kwangu ndo Best Destroyer kwa sababu ya speed nikipata account ina Desaal, Varane Maldini na Thuram alafu mbele yao kuna Viera kupita labda mtume maombi konami
Nahusikaje apo😃😃😃 Account yako mwezi ujao nitaichukua🤣🤣🤣
Nitakupa hii ya the conqueror umjaribu kaka na Movich😃😃😃nisipolud na Badge ya top 100 aulizwe Warld😃😃
Ngoja nimuiteUwe unanipa invite mkuu nikiona naingia😃😃huku kuja siku hizi mara moja moja sana kuna 🆔 inatumia jina la Ex wangu kila nikiiona namkumbuka 🤣🤣🤣
Ni jokes wakuu msije niwashia moto😃😃😃
Poa poa😀😃😃😃 Account yako mwezi ujao nitaichukua🤣🤣🤣
Nitakupa hii ya the conqueror umjaribu kaka na Movich😃😃😃nisipolud na Badge ya top 100 aulizwe Warld😃😃
Match up ishanishinda kitambo nimeachana nayoUanze kutumia match up sasa...
Huyo mwamba huwa anavuta adi jezi😃😃
Nipo hapa nitaazima account siku moja ya mdau uoneTutapita tu