eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Huwa nabadilisha sana ila kwa sasa nacheza na Defensive moja kwa Rb wangu maana ni attacking... Counter target sipend maana napata mzigo kwenye kukaba😃
Mi counter target hata kama hawakabi, nnapoikubali ni kwenye kona nikiokoa kona naweza kufanya counter ya haraka tu..

Ila nikieka mmoja tu apo mbele napata nafasi ya kukimbizana na beki aliebaki mara anakabwa 😂
 
Holy shit 😀😀😀😀 nikasema ngoja nitest imo😀
Screenshot_20260709_131658_eFootball.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom