Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,545
- 6,969
Sawasawa fundiiUtakutana na invite ili nijue nakuweka kundi lipi
Sawasawa fundiiUtakutana na invite ili nijue nakuweka kundi lipi
We nakulia time tu One day utajaa tu kwenye mfumo😅😅Noob tangu juzi hutaki kunipa salamu mwalimu wako😂😂😂
Kuna kitu kimoja tu kwako unanitesa nacho nikijua jinsi ya kukizuia tu UMEKWISHAAAAA😅😅Noob tangu juzi hutaki kunipa salamu mwalimu wako😂😂😂
Nilikua sitembei ikabid nitumie ss badala ya AMFKuna game moja sijui ndo ya pili, sijui ya tatu ile nikaona unampandisha yamar😅Nkajua hapa Mwamba nimemuweza🤣
Ameshakua mjuaji na yeye😃😃Huyo katibu wa noobs
P0😂😂😂
Huyo sahau😃😃We nakulia time tu One day utajaa tu kwenye mfumo😅😅
😂😂😂Kuna kitu kimoja tu kwako unanitesa nacho nikijua jinsi ya kukizuia tu UMEKWISHAAAAA😅😅
Mi pia nakuvizia ujae sawasawaWe nakulia time tu One day utajaa tu kwenye mfumo😅😅
Kuna mtu unashare nae account?Waungwana msaada kwenye tuta, nini shida hapo labda
Gudubaiiiiii, hakuna manuva yoyote nayoweza fanya labdaKuna mtu unashare nae account?
Hiyo account imechukuliwa mkuu.
Hiyo bado haijachukuliwa vizuri maana details zote ni zako hivo subiri akilog out we ingiaGudubaiiiiii, hakuna manuva yoyote nayoweza fanya labda
Labda kama ulilink na google account napo mtakua mnatumia wawili mpaka pale mmoja atakapoamua kurelease card zote 😂Gudubaiiiiii, hakuna manuva yoyote nayoweza fanya labda
Anyway sisi ni people hili janga nawe litakuja likukute one day, ngojaaaa, aaaaagghhhhh😅😅
Ngoja tuoneAnyway sisi ni people hili janga nawe litakuja likukute one day, ngojaaaa, aaaaagghhhhh😅😅
Aviator au 😂Kuna kitu kimoja tu kwako unanitesa nacho nikijua jinsi ya kukizuia tu UMEKWISHAAAAA😅😅
😅😅Mule mule mkuu🙌Aviator au 😂