Corrie de killer
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 240
- 736
Uchukukue tambo uludi Warld anatamba sanaSamsumg A17 ram 6 taweka high graphics kwel
Uchukukue tambo uludi Warld anatamba sanaSamsumg A17 ram 6 taweka high graphics kwel
We unaubalozi wa konamiMi huwa napiga pasi chache ila Konami wananiongezea tu sijui kwa nini 😂
Ahahaha tarudi kama mchezaji alie toka injuryHasa kwa akili zako unategemea msaada kwa huyo shetani mwenye mguu mmoja 😂😂😂
Urudi untrain kijana wako maana hali teteAhahaha tarudi kama mchezaji alie toka injury
Kijana wangu hana tofauti na man u ,mifumo ina mkataa😂😂 Corrie de killerUrudi untrain kijana wako maana hali tete
Humu wengi ni watumiaji wa touch controls ila huyu master Selikavu huemda akawa na details vizuri.Wakuu, hivi nikitumia controller ya ps4 efootball vipi?gameplay inakuwa vizuri?Touch controls zimenishinda
Huyu atundike daruga😂😂😂Kijana wangu hana tofauti na man u ,mifumo ina mkataa😂😂 Corrie de killer
Ufanye kutupa na username mkuuWakuu, hivi nikitumia controller ya ps4 efootball vipi?gameplay inakuwa vizuri?Touch controls zimenishinda
Utoe darasa mkuu WarIdUfanye kutupa na username mkuu
Anataka akamnyooshe na pad yake 😁Utoe darasa mkuu WarId
🤣🤣🤣Siyo mwemaAnataka akamnyooshe na pad yake 😁
Kwanini hukumpa nafasi walau atingishe nyavu zako kidogo 😀
Uwe unalala mkuu😃😃 au nikutumie code twende GGR😃Kwanini hukumpa nafasi walau atingishe nyavu zako kidogo 😀
Me ni Mghana, naanzaje kulala masaa haya 😅Uwe unalala mkuu😃😃 au nikutumie code twende GGR😃
Kaka😃😃nipo hapa
Tangu lini??😃😃Me ni Mghana, naanzaje kulala masaa haya 😅
Mkuu unatumia Virtual pad au touch and flick ???😃 PiaWakuu, hivi nikitumia controller ya ps4 efootball vipi?gameplay inakuwa vizuri?Touch controls zimenishinda