Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,035
- 12,565
Umeshindikana lbc
Nimemuotea tu huyo noob.Umeshindikana lbc
Hongera mkuu" itabidii uje unifundishe gameNimemuotea tu huyo noob.
Mimi noob kaka hakuna kitu utajifunza kwangu.Hongera mkuu" itabidii uje unifundishe game
Umenibahatisha sijatulia.. nitkustua
๐ ๐ Kesho kaka ndo nachomoka kwenye network hapaUmenibahatisha sijatulia.. nitkustua
Aagh ๐ฅ๐ฅAsante KONAMIView attachment 3618243
Matokeo yapo wap?!Amna kaka, wewe ndo umekuja na uo mchezo wa kutulia ukipata hakimbii kimbii wala pasi za hovyo ๐ ndo mana na mi nikakuiga
Darasa mnaanza lini๐๐Una balaa nifundishe kukaba na mimi pass zote unazuia hadi nikawa naogopa kupiga pass ๐
Nenda kamchungulie pale kwenye stats anakabia nini hasaSio poa mwamba anakaba hadi kivuli๐
Wachawi mkiongea๐คฃTulia mwanga wewe ๐ฅฒ
Mkaanzishe uzi wenu๐๐Wanga tunajuana
Haya madude kama unajua unajua tuu๐ ujipe hivyo hivy likizo ili Kiwang kipungue tukutesee
Warld kastafu kawa kama Zlatani wa world cup,๐