Corrie de killer
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 240
- 736
Wengine tunaheshimu walimu wetu yeye anazaririshaUmekua Expert member kumbeππ
Kwa kutia kuni kwenye moto hujambo mkuu
Unataka aje aniue niniMkuu hivi umecheza na Corrie de killer siku za karibuni aagh ni balaa huyu.
Bora mimi nawaletea matokeo.Wengine tunaheshimu walimu wetu yeye anazaririsha
Itabid nitafute muda wa kugusa naeMkuu hivi umecheza na Corrie de killer siku za karibuni aagh ni balaa huyu.
Sio mwema huyo πWengine tunaheshimu walimu wetu yeye anazaririsha
πππππHumu ukijichanganya kila mtu ni mzalirishaji ni vile wanajifanya low key ππ
Hivo ukipata nafasi itumie maana zamu yako itafika.
Mkuu nipe codeπππππ
Utanipiga nyingiii" mimi bado biginaπMkuu nipe code
ππ twend tukaguseKibonde wako ni lestone na huyu mjuaji Pelius Mwamba
Ni yeye tu me at anytime kwanzia sasa nipolestone weka timetable yako kabisa hapa mmalize game yenu na Kumar Singh
Upo?Ni yeye tu me at anytime kwanzia sasa nipo
Umekaza vidole mkuu" hongera
Hiyo inaitwa Buffon effect ππUmekaza vidole mkuu" hongera
Una haraka ya kwenda wapii
πππ De Paul anakujitajiiUna haraka ya kwenda wapii
Nlienda kukuandalia makao kijana wanguUna haraka ya kwenda wapii
Oi twende!!?Upo?
Najua unatamani Phase iishie hata wiki hii π