eFootball Special Thread

Apo ndiyo huwa sielewi, ila kwangu imewahi kusimama zote ajabu ni kuwa kasi ya mchezo ilinishinda πŸ˜‚πŸ˜‚ maana kila kitendo kinafanyika haraka mno.
Mtandao gani huoπŸ˜ƒ
 
Dah nawaza ni mnara gani huo maana nilishawai chezea karibu na mnara kabisa na haikupanda bars zote
Umewahi kuona mpo sehemu moja ila mmoja wenu analalamika network ila akihama alipokaa network inakuwepo..
 
Sijawai kutana nayo hiyo
Hiyo ipo nahisi hata uwezo wa simu unachangia maana simu ikiwa na joto la kati game linachezeka powa sana,

Simu ikiwa umetoka kufungua game kwa muda huo na ulikuwa huitumii basi kuna uwezekano game ya kwanza kuwa slow kwako,.

Na ukianza ujumbe wa overheat basi kuna baadhi ya simu hujizima data.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…