Sio uja mtumia vizuri opponents wengi nilio face nao David viila nii wa motoCard nyingine hii ya kitapeli. Game 150 goal 8π . Buku sita bora ningekula matunda
View attachment 3316335
Huyo villa wa 104 ndo wa motoSio uja mtumia vizuri opponents wengi nilio face nao David viila nii wa moto
Sina defensive full back hata mmoja...Kwa alichokifanya jana huyu nina hasira nae ila hii card isije na booster halafu wanipatie kwa spin ya kwanza(free)π.
View attachment 3317414
Hata mimi mkuu.Sina defensive full back hata mmoja...
Nina kamfumo kapya ngoja nikitulia hivi jioni nikushtue mkuuHata mimi mkuu.
Ishi na Babu Gasparini...Kocha xavi alonso vipi ana maajabu uko ,au naishi na babu gasperin QC
Namaliza pre season alhamisi kwahiyo kuanzia ijumaa ndo nitaanza kucheza friend match.Nina kamfumo kapya ngoja nikitulia hivi jioni nikushtue mkuu
Alonso yuko vizuri sana kwenye attacking ila beki zinatoka sana mkuu.Kocha xavi alonso vipi ana maajabu uko ,au naishi na babu gasperin QC
Huyu babu nimeanza kumzoea kwenye QC na hii booster yake, kwenye LBC bado naendelea kufanyia kazi.
Gasperin fundi ana playstyle 2 mwenyewe ningekua na coin ningemnunuaKocha xavi alonso vipi ana maajabu uko ,au naishi na babu gasperin QC
Sawaa kakaNamaliza pre season alhamisi kwahiyo kuanzia ijumaa ndo nitaanza kucheza friend match.
πππSawaa sawaaaHuyu babu nimeanza kumzoea kwenye QC na hii booster yake, kwenye LBC bado naendelea kufanyia kazi.
Kwakwel me nataka mwenye booster mbili kwa sasa wa QCGasperin fundi ana playstyle 2 mwenyewe ningekua na coin ningemnunua
Dah AI wanaubonda sanaπ
Oya nipo divison 2 natamani niache jamaa wanawia kila pass yanguπLeo utani utani nimebaki division 4 ya Efootball league upande wa Aiππ
Wa booster 2 wanauzwa 1500 wanakuja na squad kama Arsenal,BayernKwakwel me nataka mwenye booster mbili kwa sasa wa QC