Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,064
- 2,432
Nipo onlineMkuu, upo?
Nipo onlineMkuu, upo?
Hahah! Peter Dublin cjuh.Umerudisha magoli nikabaa kwanza, mara comeback goal kwa juu nikajua tu imeisha 😂
Kesho tu mkuu.. nimetoka room apa sina chaji tenaNipo online
Mkuu kwema
Huyo mtoe labisaaOngeza na Razorblade katibu wao😂
Kama kawa mkuu, nilikucheki tupunguze viporoNiaje
😃😃😃 Possession LBC
Apo hamna possession nadhani aliona asubuhi nmemsumbua kaona apite angani😃😃😃 Possession LBC
Bado hujasemaKaka ww n hatr!! 😁😁
Kabadilika siku hizi😃😃😃hatujamzoea hiviApo hamna possession nadhani aliona asubuhi nmemsumbua kaona apite angani
Mechi ya Gilberto unajiegesha mwenzako huwa nakaa adi na powder🤣🤣🤣😂 match ya kwanz nilikuw nimejiegesh tu kwa bed. Hii ya pili nikaon hap hapn ngja nikae tu😁
Game ya kwanza alinibonda nkasema usintanie na mimi nkamuonyesha kuwa kupaa sijasahau 😂😂😂Kabadilika siku hizi😃😃😃hatujamzoea hivi
Hiki kijamaa nacho kinakisa sana magoliIkwefeeeee View attachment 3603445
Binafsi sijapata mtu wa kunafanya nipae siku hizi😃😃😃Game ya kwanza alinibonda nkasema usintanie na mimi nkamuonyesha kuwa kupaa sijasahau 😂😂😂