Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,064
- 2,439
Nipo onlineMkuu, upo?
Hahah! Peter Dublin cjuh.Umerudisha magoli nikabaa kwanza, mara comeback goal kwa juu nikajua tu imeisha π
Kesho tu mkuu.. nimetoka room apa sina chaji tenaNipo online
Mkuu kwema
Huyo mtoe labisaaOngeza na Razorblade katibu waoπ
Kama kawa mkuu, nilikucheki tupunguze viporoNiaje
πππ Possession LBC
Apo hamna possession nadhani aliona asubuhi nmemsumbua kaona apite anganiπππ Possession LBC
Bado hujasemaKaka ww n hatr!! ππ
Kabadilika siku hiziπππhatujamzoea hiviApo hamna possession nadhani aliona asubuhi nmemsumbua kaona apite angani
Mechi ya Gilberto unajiegesha mwenzako huwa nakaa adi na powderπ€£π€£π€£π match ya kwanz nilikuw nimejiegesh tu kwa bed. Hii ya pili nikaon hap hapn ngja nikae tuπ
Game ya kwanza alinibonda nkasema usintanie na mimi nkamuonyesha kuwa kupaa sijasahau πππKabadilika siku hiziπππhatujamzoea hivi
Hiki kijamaa nacho kinakisa sana magoliIkwefeeeee View attachment 3603445
Binafsi sijapata mtu wa kunafanya nipae siku hiziπππGame ya kwanza alinibonda nkasema usintanie na mimi nkamuonyesha kuwa kupaa sijasahau πππ