Kazi ishakua ngumu.Corrie kashukua mwamba
Heshima yako mkuu 😂🙌Hahahaha siku hizi kunifunga labda nitake mwenywe.. kwanza wew razol hupati hata goli
Kwahiyo ndo mmeamua iwe hivi? Haya bhana 😂🙌Round One
View attachment 3599979
Rules..
Match Home and Away
Dakika 10
Condition Excellent
Injury Off
No penalties na Extra time
pelius laurent vs elnyxvi
lestone vs Corrie de killer
Edo kissy vs deesal
Kandambili1 vs Gilberto_
Razorblade vs Warld
Sangapi uje kumkaba diofHeshima yako mkuu 😂🙌
Unaweka injury na hayo mabuti yako unataka wachezaji wangu walazwe MOI 😂🙌Ukiweka Injury Razorblade anatamanigi kulia 😂😂🙌
Mbona Kumar Singh simuoni 🙄Wakuu league hii hapa
Kama Kawaida anaongoza Corrie wa mwisho WarlD 😅😅
View attachment 3599882
Corrie de killer deesal Edo kissy elnyxvi Gilberto_ Kandambili1 lestone Razorblade Warld
Kama kuna mwingine ajitokeze fixture itoke leo usiku
Ukute alikua kanywa energy hapo 😂Nini kimempagawisha na jua lote hili
Unataka nipate win kwa mara ya kwanza ili unipe gift 😂🙌Na mm ntamgift Razorblade akimfunga NEGAN 😆😆
Muda ni uleule mkuu.Sangapi uje kumkaba diof
Hukutokea wakati wanauliza walioactive.Mbona Kumar Singh simuoni 🙄
BasiiiiMuda ni uleule mkuu.
Next leagueHukutokea wakati wanauliza walioactive.
Mkuu habari yako.
Me ni adui yako kaka??
Mkuu niliona haupo active kumbe upo huku...Mbona Kumar Singh simuoni 🙄
Hapo kamzozo basi utakua unaorganize mapema na opponent ili mcheze mchana...Mala nyingi mtandao naupata kuanzia saa tatu hadi saa tisa mchana kwahyo baada ya hapo eneo naloenda kunakua hmna network mpaka kesho yake tena yani, ndo maana niliuliza hivyo
SalamalekoKwahiyo ndo mmeamua iwe hivi? Haya bhana 😂🙌