Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,822
- 209,538
Leo bana kulikuwa na baridi sanaa asbh. Mpaka screen nikawa naiona nzito, vidole vimeganda…nikachanganyanya na ile mitama uliyonizabua, ehee nikaamka nikaweke chai.. narudi haupo😆Ndio maan ukachelew kurud kweny room!?😀