Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,065
- 41,585
🤣🤣🤣🤣🤣Nipo fresh pia...
Anaanzaje kukuacha nyonga mkalia ini wake😃😃hana huo ubavu ukiona sehemu anaandika ujinga wowote wa kukuacha kemea ni roho hovu zinamsumbua😃😃😃
Tuanze na wewe
[Mimi bado noob nitakuwa mtazamajiTuanze na wewe
Kwani we kuchat unashindwa? 😂Selikavu tuletee ligi humu jf maana mnajaza uzi kwa kuchart tu.. Tunataka watu watoane damu
Hii hupati hata goal mzeeUnataka kutoa GG? 😂
Mambo hayo akili zimekulud🤣Niseme nini chanda changu, sharubati ya moyo wangu 😋
Wanataka kutugombanisha tu hao 😂🙌
Aah 😃😃ngoja training ziishe kaka
Na atakufunga huwezi amini😃😃 ikiwa n knock out itakuw unyam sana
Mnipange na Depal
Sawa 😂Hii hupati hata goal mzee
Acha uchonganishi 😂Mambo hayo akili zimekulud🤣
HeheeeheeNiseme nini chanda changu, sharubati ya moyo wangu 😋
Wanataka kutugombanisha tu hao 😂🙌
Mimi uuyu???Aagh! Mimi nimejitapa na wakati umenikataa mbele ya hadhira kule selfika 😂😂😂
Umeniambia gen Z nitulie 😂🙌
ImagineMwanetu jau sana huyu, tag zaidi ya 10 hakutokea.
Kama nilivyosema mama mtumishi kwenye maombi yako usimuache Kijana kuna roho zinamsumbua😃😃
😃😃Akili ndo zimemlud saiv 😃😃Mimi uuyu???
Unanisingizia
Kwanza uliitwa sn na hukutokea🤣🤣
Au ndo ulikuwa na demu mpya?
Usifanye hivyo ukimpiga chini me nitaumia zaid yake🥺Imagine
Halafu akipigwa chini analalamika🤣🤣