Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,557
- 11,360
Demu mpya nitolee wapi mimi? 😂Mimi uuyu???
Unanisingizia
Kwanza uliitwa sn na hukutokea🤣🤣
Au ndo ulikuwa na demu mpya?
Mie mbona sifurukuti kwako laaziz 😂🙌
Demu mpya nitolee wapi mimi? 😂Mimi uuyu???
Unanisingizia
Kwanza uliitwa sn na hukutokea🤣🤣
Au ndo ulikuwa na demu mpya?
Lini we fala? Sasa kwanini usijeniita huku? 😂😂😂Mwanetu jau sana huyu, tag zaidi ya 10 hakutokea.
Doh! 😂Imagine
Halafu akipigwa chini analalamika🤣🤣
Ikefwee! 😂🙌Kama nilivyosema mama mtumishi kwenye maombi yako usimuache Kijana kuna roho zinamsumbua😃😃
Wakuu jukwaa la mahusiano lipo aty humu mtutolee hii mada maana yatima mnatunyanyasa.Demu mpya nitolee wapi mimi? 😂
Mie mbona sifurukuti kwako laaziz 😂🙌
Mja+ala+na=... 😂Usifanye hivyo ukimpiga chini me nitaumia zaid yake🥺
Endelea nae hivyo hvyo ameanza kubadilika😃😃
Usimsikilize huyo waridi wangu, mie nipo bampa 2 bampa na wewe 😂😍Kwamba niendelee kuomba atabadirika🤣🤣🤣🤣
Nitakuwekea tutorial YouTube ila mpka nipate muda...
Maana ni mbs nyingi huku haziwezi kupanda
Ila unaweza ukawa unataazama mechi za huyu jamaa
View: https://youtu.be/AW8arYgcEN8?si=uksK3FBCWaeCmF0E
Nachoka mimi 😂Nipo nae hapa kasema hawezi ishi bila wewe😃😃
SelikavuWakuu jukwaa la mahusiano lipo aty humu mtutolee hii mada maana yatima mnatunyanyasa.
Sijui hata kama umetongoza sio wewe ni pombe😃😃
Anatutishia maisha 😃😃Unasemaje kaka 😂🤠🤠
Leta codeWakuu jukwaa la mahusiano lipo aty humu mtutolee hii mada maana yatima mnatunyanyasa.
Acha kudekaHizi link nitumie DM
Mijitu itawekwa iyo sik ya competition 😃😃😃Unasemaje kaka 😂🤠🤠
Hupati Amani kila kona unanyanyasikaWakuu jukwaa la mahusiano lipo aty humu mtutolee hii mada maana yatima mnatunyanyasa.
Aah wapHupati Amani kila kona unanyanyasika
🤣🤣🤣Nipo nae hapa kasema hawezi ishi bila wewe😃😃
Sio selfika