Update imeisha?
Arteta mtupu, nilivyocheza nae unaweza sema mechi za uefa gunners na blancos π.We ni Arteta unayetumia Atleticoπππ
Tayari mkuu.Update imeisha?
Kamfundishe π.Kheehππππ€£
Update imeisha?
Haram Football Teta ballπ€£Arteta mtupu, nilivyocheza nae unaweza sema mechi za uefa gunners na blancos π.
Aweeeeπ€£π€£π€£mtu ana badge ya Division one me sijui nitaipata liniππKamfundishe π.
We mwalimu mzuri amini hilo π.Aweeeeπ€£π€£π€£mtu ana badge ya Division one me sijui nitaipata liniππ
Sijampata nimempata Yamal hole playerRaphinha wako hana Booster
Umeshachoma mia?ππSijampata nimempata Yamal hole player
Formation yangu inahitaji hole player awe RMF au LMF. Sasa LMF ninaye tayari Raphinha nilikua sina RMF nilvyomuona Yamal mate yakanitoka nimetumia 300 kunpata YamalπUmeshachoma mia?ππ
Bado najifua nikiwa fit nitaomba mechi nae sasa hivi bado πAna hatariππΏ
Ai tangu update mpya ije wameongezewa UwezoLeo siku mbaya kazini yani hata sielewi nacheza nini unaweza sema ni Man U maana hadi kwenye AI nafungwa π.
Nikikwambia wewe ni mwalimu hutaki, leo ndo najua kama kuna kitu kinaitwa AI control π.Ai tangu update mpya ije wameongezewa Uwezo
Me Ai events hata zichezi naweka Ai control wacheze wenyewe π€£
Acha basiπ€£π€£π€£Nikikwambia wewe ni mwalimu hutaki, leo ndo najua kama kuna kitu kinaitwa AI control π.
Camavinga π€£π€£π€£Wakuu POTW wanaoshuka si ni wale wenye booster pekee?
Nimemuopoa Courtois hapa nilikuwa namtaka sana.
View attachment 3314135
Hizi 90+ zinanikera sana aisee, siku ambayo first eleven yangu na subs wote wakiwa 100+ nitafurahi sana.
View attachment 3314136