Kwenye events nilikutana na mtu kamchukua Mbappe na Garcia kwenye hii pack ya Yamal nikasema ngoja nikupe sababu ya kununua coins🤣🤣
Kikosi chake hichi hapa hajamchukua Yamal
View attachment 3594332
Matokeo na man of the match
View attachment 3594333View attachment 3594335
Nadhan baada ya hapa ataenda kumchukua Yama🤣🤣