Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,388
- 207,324
Umemaliza unachofanya?Weka charge wewe sitaki visingizio baadae 😂
Mi sina visingizio, labda nipigiwe cm
Umemaliza unachofanya?Weka charge wewe sitaki visingizio baadae 😂
Eeh jina lingine ni Goal poacher ukiweka english ya US SijuiNi adv. Stricker
Huna cha kunishangaza kichwa weweNtakushangaza 😂
Aah!! Aise huyo dahari akipatag chance hajawai kosaEeh jina lingine ni Goal poacher ukiweka english ya US Sijui
Ni mtu haswa niliona stats zakeAah!! Aise huyo dahari akipatag chance hajawai kosa
Ntakurudia 😂
Nitakuwa nimelala 😂Ntakurudia 😂
Aisee 😂Nimsubiri kibonde wangu Razor
Au niende nikampige mabuti
Kwenye events nilikutana na mtu kamchukua Mbappe na Garcia kwenye hii pack ya Yamal nikasema ngoja nikupe sababu ya kununua coins🤣🤣Eee nilivyoona mechi ya kwanz kunichezea kam mtot😃😃
Nikitulia nakucheki.
Nachukua mnazi nipo kwenye process.Huna cha kunishangaza kichwa wewe
Ukishakuwa familiya ya eFootball kuwahi kulala ni uhaini 😂Nitakuwa nimelala 😂
Aah😃😃iwe inastream tuu ukae na account ya YoutubeNachukua mnazi nipo kwenye process.
Lazima ipigwe test 😂Aah😃😃iwe inastream tuu ukae na account ya Youtube
Unyama😃Lazima ipigwe test 😂
Hahahaha hapo ataenda ten ku spin aiseKwenye events nilikutana na mtu kamchukua Mbappe na Garcia kwenye hii pack ya Yamal nikasema ngoja nikupe sababu ya kununua coins🤣🤣
Kikosi chake hichi hapa hajamchukua Yamal
View attachment 3594332
Matokeo na man of the match
View attachment 3594333View attachment 3594335
Nadhan baada ya hapa ataenda kumchukua Yama🤣🤣