Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,930
- 12,365
Nipo online we tuma invite πNakusubiri uje online nku invite, unapenda code kwannππ
πππBado anajitafakari namna gani paleRazor amegoma kuamka kisa goal 3 tu jamani π
Pole sana mkuu tupe username tutakamatana OnlineAccount yangu ilipotea saiv ninayo mpya
πππLabda kuwai kutoka ukipiga link upπ€£View attachment 3594109aisee naskia Hadi golini yupo vizuriπ
Master upo πTunapishan ratiba aiseππ
Mbona hujamweka kundi la DesaalππUhakika π
Nadownload nakutumia π€£Nimejaribu hadi kuipakua lakini hakuna kinachoingia, kama ni video ya daily penalty na isifunguke tu πππ
πππ Razorbrade game ya tatu hii no win...
Yan Sijui akiingia room anaona kama team yako anatetemekaπππRazorblade namna gani hapaπ
Tuguse master efootball πMaster upo π
TwendeTuguse master efootball π
Nimemvungia πMbona hujamweka kundi la Desaalππ
Fala πNadownload nakutumia π€£
Ananinyanyasa sana πππππ Razorbrade game ya tatu hii no win...
Wewe ndo umetoka bhana πMbona umeondoka online chap
Umekimbilia huku kuja kuleta mkeka Razorblade πππ
Poyeeee ππWewe ndo umetoka bhana π
Mikeka leta wewe kie nitaleta tofauti na mikeka ππ
Saa ngapi turudi tenaAnaninyanyasa sana ππ
Umeniwahi πPoyeeee ππView attachment 3594167
Kuanzia saa 10:30 turudi tena, hapa naboost simu ipate moto.Saa ngapi turudi tena