πππmbn unajitetea mapema mzeeSawaa kaka ya jana yameishaπππme kibonde tuu
Embu nitajie huyo mpiga penati anaitwa nani kwanza πMimi ndo nimeamka
Nishibe chai.. nipate penati nije kupitia π€£
Good morning all
Hahaha mbn hupost ile uliyo shinda ww
Mechi ya kwanz yan dakk 3 magol mawili aise nilichok pale, nikaishiw pawaππ
Niliona nikajua huna net ikabid nislow down kwanzaπππMechi ya kwanz yan dakk 3 magol mawili aise nilichok pale, nikaishiw pawaππ
SikuscreenshotπHahaha mbn hupost ile uliyo shinda ww
Kaka siku hizi umekua mnyonge kwani
Amepata.. leo kipa kaenda kule kule nilikopiga, ila mie niliinyanyua juu kimtindo so ikazama ndaniππEmbu nitajie huyo mpiga penati anaitwa nani kwanza π
Good morning.
Net ilikuwepo ila cjuh shida nn π ndio maan mech ya pili nikaon hap ni kaze sasa vidole kam wasemavyo ma playerNiliona nikajua huna net ikabid nislow down kwanzaπππ
Owaa watu wanatembeza kichapoππulud tuu labda Rooney atawawezaπ π πKaka siku hizi umekua mnyonge kwani
Aah kumbe ningeendeleza motoππNet ilikuwepo ila cjuh shida nn π ndio maan mech ya pili nikaon hap ni kaze sasa vidole kam wasemavyo ma player
ππtutagusa tenaAah kumbe ningeendeleza motoππ
Hahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yaoOwaa watu wanatembeza kichapoππulud tuu labda Rooney atawawezaπ π π
π wanadai kwamb wanachaji hio hela kwa7bu ya policy za nchi ye2 nayo inawachaji hela nyingiHahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yao
Siku nikiweza kufikisha hizo pasi 100+ nitafurahi sana ππ
Kwa heshima master ππAmepata.. leo kipa kaenda kule kule nilikopiga, ila mie niliinyanyua juu kimtindo so ikazama ndaniππ
Nikutajie umuibe?
Huwa unabutua mbele mbele yao??Siku nikiweza kufikisha hizo pasi 100+ nitafurahi sana ππ
Hapana ila tangu nimeanza kucheza game sijawahi fikisha hizo pasi hata nikicheza na AI πHuwa unabutua mbele mbele yao??
Daah itabid tuhamie tuu Whatsapp japo tulikuwa hatutaki hiyo kwa ajili ya kumntain Anonymous ya JfHahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yao