Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,533
- 11,305
Mkuu nimecheza na NEGAN mechi karibia zote nafungwa mabeki wanakuwa hawapo kwenye maeneo yao.Duuh mbona mpya hii
Amejua kuninyoosha aisee ๐.๐๐๐Jitaid mkuu
Nilikuambia cheza nae kabla ya kioo kuwekwa๐๐
Ukanibishia
Mpinzani wangu alikuwa bora kuliko mimi ila beki zangu zilikuwa zinakatika sana na ndo wanachoongelea hao jamaa.Kwa hiyo unahisi tatizo ni Alonso,๐
Mchukue Gasparini tuone hiyo theory yaoMpinzani wangu alikuwa bora kuliko mimi ila beki zangu zilikuwa zinakatika sana na ndo wanachoongelea hao jamaa.
Namchukua ngoja nijaze coins hapo, huenda ikawa kweli.Mchukue Gasparini tuone hiyo theory yao
Niliikuta huko mkuu๐nikawaza kama hukumpata mchukue kwenye Avatar yangu(Jokes kdg)๐ ๐ unafukua makaburi. Kuwapata ma legend sio kazi ndogo uta choma coins sanaa
Hizi taarifa mbona sikuziona๐๐ hongera kakaYani hawa konami wawe wanaangalia na watu wa kuwapiga hizo script zao ๐.
Nimecheza mechi 6 tu, win 5, loss 1 halafu kuna mmoja nikamfanya mbuzi wa kafara ๐.
๐๐๐
View attachment 3311461
View attachment 3311462
Kuna watu wanasema Tony Adams hana speed, sipingani nao na wala sikubaliani nao ila nimempa kazi muhimu katika mechi ya mwisho.
Beki zipo juu halafu jamaa akapiga mpira mrefu Tony akaanza mfukuzia wakati huo nafikiria nipige tackling au niache maana huwa zinanishinda, jamaa nae akazidi kuupaka mate mpira nikaona bora kula red kwa manufaa ya timu, nikamwambia โTony kill himโ basi kabla jamaa hajaingia kwenye box tony akaitenda kazi vyema ๐.
View attachment 3311482
Hatimae nimemalizana nao kwa siku ya leo na napumzikia hapo kwanza.
๐๐๐
View attachment 3311484
Hizo Gp umekosa pa kuzitumia kaka๐๐๐Yani hawa konami wawe wanaangalia na watu wa kuwapiga hizo script zao ๐.
Nimecheza mechi 6 tu, win 5, loss 1 halafu kuna mmoja nikamfanya mbuzi wa kafara ๐.
๐๐๐
View attachment 3311461
View attachment 3311462
Kuna watu wanasema Tony Adams hana speed, sipingani nao na wala sikubaliani nao ila nimempa kazi muhimu katika mechi ya mwisho.
Beki zipo juu halafu jamaa akapiga mpira mrefu Tony akaanza mfukuzia wakati huo nafikiria nipige tackling au niache maana huwa zinanishinda, jamaa nae akazidi kuupaka mate mpira nikaona bora kula red kwa manufaa ya timu, nikamwambia โTony kill himโ basi kabla jamaa hajaingia kwenye box tony akaitenda kazi vyema ๐.
View attachment 3311482
Hatimae nimemalizana nao kwa siku ya leo na napumzikia hapo kwanza.
๐๐๐
View attachment 3311484
Sawaa mkuu me nipoMkuu baadae nikiwa nimetulia zaidi.
Ahsante sana, walinikera ikabidi niwafungie booster na mimi ๐.Hizi taarifa mbona sikuziona๐๐ hongera kaka
Akiba hizo kuna kipindi huwa napata wachezaji halafu unakuta point za develop zimeisha, huwa nanunua kupitia hizo GP.Hizo Gp umekosa pa kuzitumia kaka๐๐๐
Booster ya Tackling ๐๐๐Ahsante sana, walinikera ikabidi niwafungie booster na mimi ๐.