Ulikuwa una ugomvi na mm kaka??😀😀😀
Unapiga tackle kama Caicedo hufai wewe😅😅😅😀😀
Sa mbona tackels zimeongezeka? Naona aibuu 😝🙊View attachment 3591175
Umeniokota mno😅😅nikasema embu niwe serious sasaUlikuwa una ugomvi na mm kaka??😀😀😀
Hahahaha!! Kwanz nilicho kuwa nashangaa n khan sijawah muwek kweny friend match coz anazingua hatok kumb kule nje nilimset auto aiseUmeniokota mno😅😅nikasema embu niwe serious sasa
Hahaha ukaamua unikung'ute maan nilikuw natumia kocha kimvuli kwakoUmeniokota mno😅😅nikasema embu niwe serious sasa
Kumbe ulimuweka Khan😅😅ndo maana nimekufunga kona nyingi😅Hahahaha!! Kwanz nilicho kuwa nashangaa n khan sijawah muwek kweny friend match coz anazingua hatok kumb kule nje nilimset auto aise
Game ya pili ulimweka Cappello nikashinda ukamludisha game ya tatu na hii ya mwisho😃😃Hahaha ukaamua unikung'ute maan nilikuw natumia kocha kimvuli kwako
Nakuja stuka chuma 6 tayr zisha ingia😀😀Kumbe ulimuweka Khan😅😅ndo maana nimekufunga kona nyingi😅
Ee aise nikaon huyu ngj nimrudish wa kimvuli tu😀😀Game ya pili ulimweka Cappello nikashinda ukamludisha game ya tatu na hii ya mwisho😃😃
Wacha nije classUnapiga tackle kama Caicedo hufai wewe😅😅😅View attachment 3591178
😃😃😃Sasa hapo nimebakiza kazi ya kukaba huwezi nishinda maana nikipata tu counter😃😃😃Nakuja stuka chuma 6 tayr zisha ingia😀😀
Offiside trap yako nitakuja kuipita siku moja ushangae😃😃Ee aise nikaon huyu ngj nimrudish wa kimvuli tu😀😀
Mwezi huu utakuwa ushakua mnomaWacha nije class
Hizo zinatumwa kama pesa, weka namba ya muamala 😂Naomba coin 70 em 😂
Sisi ni noobs tuliozoea game, hatuna maajabu.Mnataka mtoe Game ya goal 30 naona ndo malengo yenu
Kwa heshima 🙌Hicho kikosi tunambadilishia soon
Hili jamaa huwa liongo sana, kuna muda nikichanganywa na kipa wako huwa naenda gombana na hili jamaa 😂😂😂😂 jamaa ako jau Selikavu au ndio maana yakeView attachment 3591129
Tajiri yetu huyo kama Mo 😂🙌Tumwambie Corrie de killer akuoneshe zake😅😅
Analeta michezo ya master Kandambili1 😂Huyu balaa anatuigizia apa