Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Shida siyo umiliki mkuu shida ni pale unapopoteza mpira ni faida jwake maana wachezaji wako wanakuwa wamepanda na ndo makosa yaliyofanyika katika mechi zote.Ukitaka kumfunga LBC miliki mpira umemaliza kazi
Possession >LBCKila nikipoteza mpira naanza kuhesabu goli, najitahidi sana kutafuta namna ya kukabiliana na LBC.
Ndio fanya mazoezi usipoteze sana mipira utazoea tuShida siyo umiliki mkuu shida ni pale unapopoteza mpira ni faida jwake maana wachezaji wako wanakuwa wamepanda na ndo makosa yaliyofanyika katika mechi zote.
Ndiyomaana mechi zote unaona bado nilikuwa nacheza mpira uleule lakini makosa ni yaleyale, ila mimi na wewe bado hatujamalizana, dawa yako inachemka π.Ndio fanya mazoezi usipoteze sana mipira utazoea tu
Uzalendo wa kitanzania upo wapiOya Razorblade ndio kindege hichoπ π
Mechi nyingi nilizocheza nae network yake inakuwa down maana wachezaji wake wanasimama huwa naona...Hiyo LBC unaitendea haki mkuu najiuliza Selikavu anakufungaje bado sipati majibu π.
Kakutana na Haram FootballUmeona Arteta ballπ
Me ni Quick counter sipo kwenye List π€£Nahitaji match na wewe mara kwa mara mkuu siyo kwako tu wengi wanaotumia LBC nashindwa kutoboa π.
Karibu kwenye chama la LBCCoins zikifika 500 tu napita na huyu manager.
πππ
View attachment 3312691
View attachment 3312692
Na ana booster physical contactCoins zikifika 500 tu napita na huyu manager.
πππ
View attachment 3312691
View attachment 3312692
Hii hongera yako imekaa kimtego sana π.Hongera kaka πππ
Nilikuwepo huko mkuu, nilikuwa namtumia mourinho.Karibu kwenye chama la LBC
Tunashukuru hata kwa kdg tulichopata kaka Hata kwa draw kakaππHii hongera yako imekaa kimtego sana π.
Sisi ambao tunacheza tu game bila kufatilia sana mengi hatuelewi, ona hawa jamaa wanalalamika Alonso anatoa sana mabeki.Na ana booster physical contact
Huyu NEGAN kwa sasa namnyooshea mikono ila dawa yake inachemka π.Tunashukuru hata kwa kdg tulichopata kaka Hata kwa draw kakaππ
Duuh mbona mpya hiiSisi ambao tunacheza tu game bila kufatilia sana mengi hatuelewi, ona hawa jamaa wanalalamika Alonso anatoa sana mabeki.
πππ
View attachment 3312695