Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,545
- 11,327
Wewe furahia penzi hilo shem, we mwenyewe unaelewa navyokupambania π
Nakuambiaa shem kaka ako anani care na kuni handle siku hizi hadi naogopaa!! Nataka nimtoe hukoo.
Nifurahie ndoa yangu mie atii,
TOD πSasa training uliyoenda ni ngumu kdg nenda hii kwanza then ukiona umeweza utaenda ya pili
Anz na hii kwanza
Nenda kwenye Academy
Chagua training View attachment 3590392
Ukitoka hapo chagua Dream team
Ukitoa hapo chagua Free training siyo ya Commanding ambayo umeenda
Then after anza na Attacking practice hapo utakuwa uwanja mzima mwenyewe cheza na wachezaji wako jaribu kupigiana pass ukiona umeweza kuelewa namna ya kuzitumia button lud nyuma chagua practicing match ujaribu kucheza na Opponent uone kama utatoboa
View attachment 3590393View attachment 3590394
Mwanangu wewe ππHuweziπ
Nilikuwa napita kimyakimya bila shida yoyote, hii nini sasa?Achana na huyo mnafkiππ
Sijui kawaje siku hiziπ.
Sitii neno ππBhangi tatizoππ
ππ Unakimbia vita kakaππsiongezi neno.
League ijayo sikai na weweπ π πWewe furahia penzi hilo shem, we mwenyewe unaelewa navyokupambania π
Ila huku usimtoe, kwaajili yako tutajitahidi ligi inayofata tusiwe wa mwisho ππ
Ngoja nijaribu upyaaaSasa training uliyoenda ni ngumu kdg nenda hii kwanza then ukiona umeweza utaenda ya pili
Anz na hii kwanza
Nenda kwenye Academy
Chagua training View attachment 3590392
Ukitoka hapo chagua Dream team
Ukitoa hapo chagua Free training siyo ya Commanding ambayo umeenda
Then after anza na Attacking practice hapo utakuwa uwanja mzima mwenyewe cheza na wachezaji wako jaribu kupigiana pass ukiona umeweza kuelewa namna ya kuzitumia button lud nyuma chagua practicing match ujaribu kucheza na Opponent uone kama utatoboa
View attachment 3590393View attachment 3590394
KhalasTOD π
Endelea kupita kichwa weweπππNilikuwa napita kimyakimya bila shida yoyote, hii nini sasa?
πππ
Una balaa hapo RazorbladeSelikavu daily game ni lazima upate ile pernalty? Au mimi tu nina mashuti makali sikosi π
Utakaa na nani wa kukuvumilia wewe unazurula tu uwanjani? πππLeague ijayo sikai na weweπ π π
Kwa heshima ππEndelea kupita kichwa weweπππ
Jaribu hiii ukiweza nakuelekeza ile ya league sasa ukajaribu kupambana msimu mzimaππNgoja nijaribu upyaaa
Kaka huyo kipa akiwa na stress humfungi πππUna balaa hapo Razorblade
Anakosa kila siku penalty itabid umfundishe upigajiπ π
huyu kipa yupo automated...
Kwa siku mbili anakua anaruka upande mmoja ambao ukipiga huko anadaka then anaenda upande mwingine au anabaki kati kati...
Kwahiyo inabid uwe unakumbuka jana aliluka wap unapiga hesabu vzrπππ
AseeeeπUtakaa na nani wa kukuvumilia wewe unazurula tu uwanjani? πππ
WHY ALWAYS ME? Sisi ndo tunaelewana hapa ngadu kwa ngadu ππ
Kichwa weweππKaka huyo kipa akiwa na stress humfungi πππ
Huyo fala akishadaka penalty siku 2 mfululizo siku ya tatu unachanginyikiwa wewe, anakera sana πKichwa weweππ